Prof. Kabudi: Rais amenituma kuwashukuru Watanzania kwa maombi, asema ameuona mkono wa Bwana

Prof. Kabudi: Rais amenituma kuwashukuru Watanzania kwa maombi, asema ameuona mkono wa Bwana

Wanaingia kwenye kufuru sasa....soon tutaambiwa naye ni "mungu".

Siasa noma sana.
 
Yani katika maprofesa niliowai kuwa dharau kabudi Ni mmoja wapo.

Prof kabudi""""Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi ametoa tafsiri ya jina la John kwa mujibu wa Biblia kuwa ni mtu aliyependelewa na Mungu wa mbinguni na kupewa baraka zote.



Tafsiri hii imetolewa na Prof Kabudi mbele ya Rais Magufuli,""""
 
Prof. Palamagamba Kabudi akisoma ujumbe wa Rais unaosema alipoamua kutofunga nyumba za ibada wala kuifunga nchi kwa lockdown ni kuwa hakuyasema yeye kama binadamu (Mh.Rais) aliyeumbwa kwa nyama na damu bali alipata ujasiri na imani hiyo toka kwa Mungu. Kwani Mungu alimleta afanye kazi hiyo kama Musa alivyofanya kazi ya kuwavusha wana wa Israeli wavuke salama bahari ya Shamu kuwaepuka askari wa Farao.
Hapa sasa.

Mwenye masikio na asikie!

Tunaye mpaka tuvuke!

Tutavuka lini, na tutajuaje kuwa tumevuka na tusiwe na uhitaji naye tena?
 
Pengine unachukulia hili jambo kwa udogo/ukubwa hoja hapa ni Je, JPM alichukua hatua sahihi? Jibu ni ndiyo kwa sababu hatukuathirika ki-vile wengi walivyotegemea. Sasa hapo unaongelea sayansi ipi? Sayansi ipo kwenye dawa siyo jinsi unavyokabiliana na janga. Je Wazungu wamepata dawa? Hapana, sisi Tanzania tayari dawa ipo sasa unataka nini? Kuhusu maambukizi: Je, wapi kulikuwa na maambukizi mengi Tanzania au Ulaya?
Wewe msukule,sayansi ya magonjwa ya kuambukiza unaijua!? Hapo anazungumzia hilo,sio sayansi yako. Kwa nini mnakuwa na vichwa kwa ajili ya kufugia nywele na kubeba masikio,pua,macho na mdomo? Kwa nini mnaipa viwiliwili vyenu mzigo wa kubeba "mamumunye"!?
 
Alichoumba mwenyezi Mungu hakina makosa.
 
Pengine unachukulia hili jambo kwa udogo/ukubwa hoja hapa ni Je, JPM alichukua hatua sahihi? Jibu ni ndiyo kwa sababu hatukuathirika ki-vile wengi walivyotegemea. Sasa hapo unaongelea sayansi ipi? Sayansi ipo kwenye dawa siyo jinsi unavyokabiliana na janga. Je Wazungu wamepata dawa? Hapana, sisi Tanzania tayari dawa ipo sasa unataka nini? Kuhusu maambukizi: Je, wapi kulikuwa na maambukizi mengi Tanzania au Ulaya?
 
Hatuna dawa iliyothibitishwa kutibu. Na hatuna scientific evidence zinazoonyesha kuwa hatua ni sahihi. Kisiasa na ki -mataga unawezajisemea chochote , lakini mwenye macho haambiwi tazama!
 
Mi-CCM akili zao bana..hili nalo prof?
tapatalk_1589670695795.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napita tu. Ila nasubiri mkakati wa serikali kupima corona watu wengi iwezekanavyo na kutoa majibu kwa uwazi na ukweli kama WHO inavyoshauri. Na vifo vyote vya watu wenye kufa na dalili au kuthibitishwa na Corona viwekwe wazi. Nitasubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu Watanzania wengi akili zao bado zimeshikiliwa na wazungu. Sasa waliokufa ni wazungu wengi hasa USA, UK, Spain nk. Sasa leo hii wanabeza juhudi za taifa la Tanzania chini ya uongozi wa JPM.
Kifo si mashindano. Binafsi siwashabikii wazungu kabisa. Na sio kwamba eti mbinu zao hazifanyi kazi ..mbinu za jpm ndio bora zaidi.. hapana.
Sweden ni nchi iliyokataa kufunga mipaka sisnce day one.. angalia stats zao.. haziko njema.

Kinacho wakosti britain na USA ni kuchukulia powa pale walipopewa onyo. Tena hapa tunaanza na USA.. walijulishwa toka mwaka jana mapema. Na vyombo vya usalama waliandika barua kuwa kuna upcoming pandemic.. trump akadharau.. china wamefichaa wee ishu ikajulikana.. lakin na madhara yote trump akawa anapiga siasa tena akakiita kirusi cha wachina.

Ulivyokuja ingia kwake akaja shtuka too late. Unakuja weka lockdown ugonjwa umeshaingia ndani.
Britain nao yale yale. Mizaha
Wamekuja shtuka ngoma iko ndani.
Italy the same.
Wangeweza kupunguza idadi kama wangekuwa makin kabla gonjwa halijaingia. Leo hii wanashindwa na ujerumani.. wanashindwa na south korea..
Hili wamejitakia wenyewe
 
Back
Top Bottom