Prof. Kabudi: Rais amenituma kuwashukuru Watanzania kwa maombi, asema ameuona mkono wa Bwana

ile bia iliyofatwa Madagscar imeishia vipi muheshimiwa?
 
sisi waislam ambao hatutambui mkono wa bwana duwa zetu hazijafika angalieni msije kututenganisha ktk imani za watu
 
Li nchi la propaganda
 
Aibu Watanzania wengi akili zao bado zimeshikiliwa na wazungu. Sasa waliokufa ni wazungu wengi hasa USA, UK, Spain nk. Sasa leo hii wanabeza juhudi za taifa la Tanzania chini ya uongozi wa JPM.
Ni jitihada zipi alizofanya za ziada kuliko jitihada walizofanya wazungu hadi pakawepo tofauti kubwa ya matokeo ya vifo, unazijua?
Pengine unachukulia hili jambo kwa udogo/ukubwa hoja hapa ni Je, JPM alichukua hatua sahihi? Jibu ni ndiyo kwa sababu hatukuathirika ki-vile wengi walivyotegemea.
"---alichukua hatua sahihi" kwa misingi ipi?
Yeye alishafanya utafiti akaona njia mbadala ambazo dunia nzima walikuwa hawazijui?

Tueleze wewe unayejua kwa nini "hatukuathirika".
Hizo 'projections' za 100,000, ni makisio yanayofanywa kutokana na maambukizi yalivyokuwa yanategemewa, ni makisio na sio namba sahihi, na kila nchi ilikuwa na 'projections' za aina hiyo.
Sasa mnawaeleza wananchi kana kwamba hivyo ndivyo ilipaswa kuwa - kama kawaida ya kupindisha habari ili zikidhi upotoshaji unaofanyika.

Kiongozi mzima, kuna sababu zipi za kujihusisha na mambo haya ya kupotosha kila habari, hata mambo yanayohusu taarifa za kisayansi?
 
Ni jitihada zipi alizofanya za ziada kuliko jitihada walizofanya wazungu hadi pakawepo tofauti kubwa ya matokeo ya vifo, unazijua?

"---alichukua hatua sahihi" kwa misingi ipi?
There was no lockdown in Tanzania.
Yeye alishafanya utafiti akaona njia mbadala ambazo dunia nzima walikuwa hawazijui?
As above.

Tueleze wewe unayejua kwa nini "hatukuathirika".
Hizo 'projections' za 100,000, ni makisio yanayofanywa kutokana na maambukizi yalivyokuwa yanategemewa, ni makisio na sio namba sahihi, na kila nchi ilikuwa na 'projections' za aina hiyo.

That's a lie, a grownup man like you decide to lie in day broad light.

Sasa mnawaeleza wananchi kana kwamba hivyo ndivyo ilipaswa kuwa - kama kawaida ya kupindisha habari ili zikidhi upotoshaji unaofanyika.

Which wananchi? People can see themselves what is happening.

Kiongozi mzima, kuna sababu zipi za kujihusisha na mambo haya ya kupotosha kila habari, hata mambo yanayohusu taarifa za kisayansi?

What has been mislead? Just continue with your propaganda but those in the knowing understands what's going on.
 
Hata hujui unachojibu, utaweza vipi kutoa jibu linaloeleweka?
Hopeless!

There needs to be a better way of filtering out garbage from appearing on JF!
They need to deploy 'artificial intelligence' gadgets for this, to save us from wasting time.
 
Have you jumped a reptile?
 
You are a useless bugger.
 
Ulaya tunajua, kwetu hatuna data. Hata hivyo idadi ya watu ulaya ni kubwa mara nyingi kuliko kwetu na watu wanasafiri sana kuliko kwetu, hivyo maambukizi kwao yanasambaa kwa kasi kuliko kwetu.
 
Reactions: Ole
Mkono wa Bwana yupi? Angesema ametubu dhambi na aache kutumia TISS na Makonda kunyima watu uhuru wa kuishi ningesema labda...Lakini bado anaendelea kutesa watu na kuwanyima haki ya kuishi. Hakuna cha mkono wa Bwana aliouona bali mikono ya waganga wake wa kienyeji.
 
Have you jumped a reptile?
Wakati ule nilipoanza kukusoma kwenye mjadala wa Waziri Mkuu Sokoine, nilidhani una hekima kichwani hata kama hatukukubaliana kwa yale tuliyojadili.
Sikujua kuwa ni mtu wa kundi hili ambalo sina muda kabisa wa kupoteza nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…