Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
Nchi gani duniani shida za wananchi zilipoisha na haziongezeki. Ukiisema moja tu, nitajua humuonei wivu Rais Magufuli. Bila hivyo ni upinzani mpofu!So what shida za wananchi zimeisha au ndiyo zimeongezeka?
Lala mbele Kama Lema, na siku hizi hamzuiliwi, ukivuka kwa kujificha unatupiwa na vi begi vyako uende navyo.So what shida za wananchi zimeisha au ndiyo zimeongezeka?
Kulikua na uchaguzi mwaka huu?Kupanda na kushuka kwa bidhaa ni msukumo w mahitaji ya soko.Mbona husemi kuhusu EWURA kushusha bei ya mafuta kwa taarifa za jana. Uchaguzi umekwisha, Uchaguzi Umekwisha, Uchaguzi umekwishaaaaa!
Na wewe uweke kiti🛋 kabisaaa ukae! maana utachoka kusubiri kuona hayo unayotamani yatokeeEndeleeni kujifariji lakini mjue tayari maji ya shingo mnayo mnatapatapa na kulazimisha mambo imekula kwenu nyie tulieni sindano tano za moto zi teleze humo
Hayo kamwambie mama ako na familia yako endelea kupakwa mate huko ulikoUlaya wanajitambua hawawezi kusikiliza porojo za Lissu na Amsterdam wanawajua wale ni matapeli na maghaidi wa kisiasa.Karibu Ufaransa tufanye biashara on a win win environment. Chadema lazima mtapike nyongo.HAPA KAZI TU, USIPOFANYA KAZI HULI NA USIPOKULA UFE
Nini maana ya kugeni? Wewe unaijua lugha hiyo ya kugeni? Ni watu wangapi duniani wanaijua hiyo lugha ya kugeni? Nyani haoni kundule! Wewe unashindwa lugha yako! Utaijua ya KUGENI!Sijui Kama jiwe anajua lugha yeyote ya kugeni
Hio barua ni ya kifaransa labda kamuandikia kumuonya yeye anafikiri ni pongezi
Hahaha mchezo huu hauhitaji hasira bwashee tumia ubongo wako sawasawa kujenga hoja usitukane.Mama yangu alishatangulia mbele za haki muache apumzike.Hayo kamwambie mama ako na familia yako endelea kupakwa mate huko uliko
Haya tuliza k sasaHahaha mchezo huu hauhitaji hasira bwashee tumia ubongo wako sawasawa kujenga hoja usitukane.Mama yangu alishatangulia mbele za haki muache apumzike.
Hizo ni number tu! Kwa mfano wanafunzi 100 waliopata division 1 wote na wakipangwa kufuata ufaulu, atakuwepo wa kwanza na wa mwisho.TANZANIA IMEINGIA UCHUMI WA CHINI WA KATI.NA SI UCHUMI WA KATI.
N.B usisahau kuwa Tanzania ni nchi ya nane 8 KWA UMASIKINI DUNIANI KUTOKA CHINI.
UNAPOTOSHA NA KUPOTOSHWA.
Kama Mbowe anavyokula na vipofu wake WAFIPA😁Inaitwa kula na kipofuuuuu
So what shida za wananchi zimeisha au ndiyo zimeongezeka?
Kuna watu wanamchukia Magufuli mpaka wanafikia kuiombea mabaya nchi yao kwa kuona kufanya hivyo ni kumkomoa Magufuli.