Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

So what shida za wananchi zimeisha au ndiyo zimeongezeka?
Nchi gani duniani shida za wananchi zilipoisha na haziongezeki. Ukiisema moja tu, nitajua humuonei wivu Rais Magufuli. Bila hivyo ni upinzani mpofu!
 
Ulaya wanajitambua hawawezi kusikiliza porojo za Lissu na Amsterdam wanawajua wale ni matapeli na maghaidi wa kisiasa. Karibu Ufaransa tufanye biashara on a win win environment. CHADEMA lazima mtapike nyongo.HAPA KAZI TU, USIPOFANYA KAZI HULI NA USIPOKULA UFE
 
So what shida za wananchi zimeisha au ndiyo zimeongezeka?
Lala mbele Kama Lema, na siku hizi hamzuiliwi, ukivuka kwa kujificha unatupiwa na vi begi vyako uende navyo.
 
Kupanda na kushuka kwa bidhaa ni msukumo w mahitaji ya soko.Mbona husemi kuhusu EWURA kushusha bei ya mafuta kwa taarifa za jana. Uchaguzi umekwisha, Uchaguzi Umekwisha, Uchaguzi umekwishaaaaa!
Kulikua na uchaguzi mwaka huu?
 
Endeleeni kujifariji lakini mjue tayari maji ya shingo mnayo mnatapatapa na kulazimisha mambo imekula kwenu nyie tulieni sindano tano za moto zi teleze humo
Na wewe uweke kiti🛋 kabisaaa ukae! maana utachoka kusubiri kuona hayo unayotamani yatokee
 
Ulaya wanajitambua hawawezi kusikiliza porojo za Lissu na Amsterdam wanawajua wale ni matapeli na maghaidi wa kisiasa.Karibu Ufaransa tufanye biashara on a win win environment. Chadema lazima mtapike nyongo.HAPA KAZI TU, USIPOFANYA KAZI HULI NA USIPOKULA UFE
Hayo kamwambie mama ako na familia yako endelea kupakwa mate huko uliko
 
Hii imedhihirisha pasi na shaka kuwa UHUSIANO wetu na "wajamaa" wenzetu wa UFARANSA ni mzuri mno na usiotetereka.

Macron Mwenyewe amekuwa "akisigana" na wakubwa wa dunia katika sera zao Mara kadhaa.

MAENDELEO HAYANA VYAMA
 
Sijui Kama jiwe anajua lugha yeyote ya kugeni
Hio barua ni ya kifaransa labda kamuandikia kumuonya yeye anafikiri ni pongezi
Nini maana ya kugeni? Wewe unaijua lugha hiyo ya kugeni? Ni watu wangapi duniani wanaijua hiyo lugha ya kugeni? Nyani haoni kundule! Wewe unashindwa lugha yako! Utaijua ya KUGENI!
 
Hayo kamwambie mama ako na familia yako endelea kupakwa mate huko uliko
Hahaha mchezo huu hauhitaji hasira bwashee tumia ubongo wako sawasawa kujenga hoja usitukane.Mama yangu alishatangulia mbele za haki muache apumzike.
 
TANZANIA IMEINGIA UCHUMI WA CHINI WA KATI.NA SI UCHUMI WA KATI.

N.B usisahau kuwa Tanzania ni nchi ya nane 8 KWA UMASIKINI DUNIANI KUTOKA CHINI.

UNAPOTOSHA NA KUPOTOSHWA.
Hizo ni number tu! Kwa mfano wanafunzi 100 waliopata division 1 wote na wakipangwa kufuata ufaulu, atakuwepo wa kwanza na wa mwisho.
 
Shida yenu mlimtegemea Lissu afikirie kwa ajili yenu.Amefika ulaya ameshindwa kujibu maswali magumu so finally amewekwa pembeni na wazungu sasa diplomasia ya kujenga mahusiano ya nchi kwa nchi ndiyo imetamalaki. Hapa Kazi tu.
 
Africa bado ina viongozi makini na wenye uthubutu kama kina JPM
.
Tz Hoyeee!!!
 
Back
Top Bottom