Prof. Kabudi: Tanzania ndio tunaratibu mapambano ya Corona kwa nchi za SADC na Waziri Ummy aliongoza kikao cha kupanga mikakati mwezi Machi

Prof. Kabudi: Tanzania ndio tunaratibu mapambano ya Corona kwa nchi za SADC na Waziri Ummy aliongoza kikao cha kupanga mikakati mwezi Machi

Bongo nyoso
IMG-20200514-WA0030.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiswahili ni lugha ya Taifa,ni kosa la jinai kuinajisi pendwa ya Taifa la Tanzania..

Kubali kukosolewa hakuna alie "perfect"
Kwenda huko. Naona unanizingua. Kujifanya kifimbo cheza hapa. Fundisha wanao kwanza. Watu wanajadili mengine wewe unaleta masomo hapa.
 
Kwenda huko. Naona unanizingua. Kujifanya kifimbo cheza hapa. Fundisha wanao kwanza. Watu wanajadili mengine wewe unaleta masomo hapa.
Usikasirike,najua kiswahili ni lugha yako ya pili,ni busara kutusikilza na kusoma kwa Waswahili wenye lugha yao...

Usiwe na khofu itajifunza tu,usikate tamaa
 
“....Lakini watu wengi wanapenda kusikia uwongo kuliko ukweli. Kwa hiyo wakati wote, yule anayedanganya ataendelea kupata wanaokubali kudanganywa.”(Machiavelli)
 
Usikasirike,najua kiswahili ni lugha yako ya pili,ni busara kutusikilza na kusoma kwa Waswahili wenye lugha yao...

Usiwe na khofu itajifunza tu,usikate tamaa
itajifunza = utajifunza
kutusikilz= kutusikiliza.

Nahisi ungeanza kujifundisha wewe mwenyewe kwanza kabla kuja kujivika ualimu usiohitajika hapa. Zingatia punctuation marks pia ukiwa unaandika.
 
itajifunza = utajifunza
kutusikilz= kutusikiliza.

Nahisi ungeanza kujifundisha wewe mwenyewe kwanza kabla kuja kujivika ualimu usiohitajika hapa. Zingatia punctuation marks pia ukiwa unaandika.
Hhahaaha,makosa ya kuandika Sio ya sentensi Kama uliyofanya wewe,simu yangu ya kitochi

Asante kwa kurekebisha, usiwe na mashaka iko siku utajua kuandika na kuzungumza kiswahili fasaha.
 
May 13, 2020
Tunduma, Tanzania

Uchumi wa wananchi umetetereka kufuatia hatua ya Zambia kufunga mpaka

Janga la Corona limeathiri kwa kiasi kikubwa shughuli za kibiashara katika mji wa Tunduma ambao uko kwenye mpaka wa Tanzania na Zambia. Wakazi wa eneo hilo wana hofia huenda hali ikazorota zaidi baada ya Zambia kuufunga mpaka wake na kuwaacha madereva wa malori na wakazi wengine wa Tunduma na hofu ya kuendelea kuporomoka kiuchumi.
Source : BBC News Swahili
Dah...."HOFU" ndiyo lengo kuu hasa la Corona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom