Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
"My laugh comes last""No orchids for Miss Blandish"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"My laugh comes last""No orchids for Miss Blandish"
Hata mimi nalijua hilo. Unamwamini Prof. Jay tu!Sijawahi kumuamini... le profeseri
Kwenda huko. Naona unanizingua. Kujifanya kifimbo cheza hapa. Fundisha wanao kwanza. Watu wanajadili mengine wewe unaleta masomo hapa.Kiswahili ni lugha ya Taifa,ni kosa la jinai kuinajisi pendwa ya Taifa la Tanzania..
Kubali kukosolewa hakuna alie "perfect"
Usikasirike,najua kiswahili ni lugha yako ya pili,ni busara kutusikilza na kusoma kwa Waswahili wenye lugha yao...Kwenda huko. Naona unanizingua. Kujifanya kifimbo cheza hapa. Fundisha wanao kwanza. Watu wanajadili mengine wewe unaleta masomo hapa.
Ni kwikwi ati..
itajifunza = utajifunzaUsikasirike,najua kiswahili ni lugha yako ya pili,ni busara kutusikilza na kusoma kwa Waswahili wenye lugha yao...
Usiwe na khofu itajifunza tu,usikate tamaa
Hhahaaha,makosa ya kuandika Sio ya sentensi Kama uliyofanya wewe,simu yangu ya kitochiitajifunza = utajifunza
kutusikilz= kutusikiliza.
Nahisi ungeanza kujifundisha wewe mwenyewe kwanza kabla kuja kujivika ualimu usiohitajika hapa. Zingatia punctuation marks pia ukiwa unaandika.
Dah...."HOFU" ndiyo lengo kuu hasa la Corona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]May 13, 2020
Tunduma, Tanzania
Uchumi wa wananchi umetetereka kufuatia hatua ya Zambia kufunga mpaka
Janga la Corona limeathiri kwa kiasi kikubwa shughuli za kibiashara katika mji wa Tunduma ambao uko kwenye mpaka wa Tanzania na Zambia. Wakazi wa eneo hilo wana hofia huenda hali ikazorota zaidi baada ya Zambia kuufunga mpaka wake na kuwaacha madereva wa malori na wakazi wengine wa Tunduma na hofu ya kuendelea kuporomoka kiuchumi.
Source : BBC News Swahili