Prof Kabudi usiyarudie tena haya ya kujidhalilisha

Prof Kabudi usiyarudie tena haya ya kujidhalilisha

Kila mtu ana akili akiwa kimya ila akiongea tuu ndio utajua ulikuwa sahihi kumfikiria hivyo au laaah, maana utajikuta unakijutia ulichokiamini, shida ya inakuja pia pale watu wengi tumbo likikoswa chakula
Nakuelewa sana mkuu, kila mtu akiwa kimya ana akili, pale anapoanza kuongea ndio matatizo yanaanzia hapo.
 
Umemaliza Mkuu
 
Wanasiasa huwa wanaenda na beats za wakubwa
Wakiona anapenda wagaragare basi watafanya kumridhisha
Kwa sasa hana mda huo Rais bali anataka wa kujali kazi yake tu
 
1. Kujidhalilisha kuwa umetoka, umeokotwa Jalalani

2. Mheshimiwa Mungu

Jihadhali usije ukayarudia tena.
Naunga mkono hoja, that was just a slip of a tongue!. Prof. Kabudi ni bingwa wa Katiba, atamweleza Maza kuhusu ubatili wa Katiba na Ubatili wa Sheria mpya ya uchaguzi aliyoisaini hapa juzi kati hivyo sasa tutarajie huu ubatili utarekeboshwa.

P
 
Nakuelewa sana mkuu, kila mtu akiwa kimya ana akili, pale anapoanza kuongea ndio matatizo yanaanzia hapo.
Siyo kwamba ana akili, ni assumptions kwa kuwa hajawekwa kwenye kipimo sahihi.
 
Kabudi in person nakumbuka nishawahi muuzia juice ya ceres ile ya 5k.. Nadhani ilikuwa ya tropical flavor. NB:wapi na lini hilo ntabaki nalo moyoni.
 
Naunga mkono hoja, that was just a slip of a tongue!. Prof. Kabudi ni bingwa wa Katiba, atamweleza Maza kuhusu ubatili wa Katiba na Ubatili wa Sheria mpya ya uchaguzi aliyoisaini hapa juzi kati hivyo sasa tutarajie huu ubatili utarekeboshwa.

P
Watu wanawaza chaguzi tu. Ajabu sana. Sijui ni Nchi gan imeboresha maisha ya watu wake kwa kufanya Chaguzi. Naomba mfano wowote toka enzi na enzi( from Roman Kingdom to USA domination)

Kabudi ameteuliwa kuwa wazir wa Katiba na Sheria. Msingi wa katiba ni sheria na msingi wa sheria ni Haki na msingi wa Haki ubinadamu na msingi wa ubidamu ni usawa.
Lakin akina maskini mimi tunawaza chaguzi tu!
 
Back
Top Bottom