Prof Kabudi usiyarudie tena haya ya kujidhalilisha

Prof Kabudi usiyarudie tena haya ya kujidhalilisha

Naunga mkono hoja, that was just a slip of a tongue!. Prof. Kabudi ni bingwa wa Katiba, atamweleza Maza kuhusu ubatili wa Katiba na Ubatili wa Sheria mpya ya uchaguzi aliyoisaini hapa juzi kati hivyo sasa tutarajie huu ubatili utarekeboshwa.

P
Ni Kabudi yule yule aliyenukuliwa akikana umuhimu wa Katiba Mpya licha ya kushiriki kwenye mchakato wake.

Umesahau?
 
Shida iko wapi, Mungu ni wa Kuheshimiwa bwana.
 
IMG_20200508_164039 (1).jpg
20200508_170418.jpg
 
Naunga mkono hoja, that was just a slip of a tongue!. Prof. Kabudi ni bingwa wa Katiba, atamweleza Maza kuhusu ubatili wa Katiba na Ubatili wa Sheria mpya ya uchaguzi aliyoisaini hapa juzi kati hivyo sasa tutarajie huu ubatili utarekeboshwa.

P
Haya mambo hata kijana wa IJA anaweza kuyaelezea, usimpambe
 
Kila mtu ana akili akiwa kimya ila akiongea tuu ndio utajua ulikuwa sahihi kumfikiria hivyo au laaah, maana utajikuta unakijutia ulichokiamini, shida ya inakuja pia pale watu wengi tumbo likikoswa chakula
Kwa huu ujumbe, umemaliza mkuu 👍🏼
 
1. Kujidhalilisha kuwa umetoka, umeokotwa Jalalani

2. Mheshimiwa Mungu

Jihadhali usije ukayarudia tena.
Mjinga tu na mwenye chuki ndio hakuweza kumuelewa kabudi. Wala hakuwahi kusema udsm ni jalalani. Wenye kumelewa tulijua alikua anaonesha unyenyekevu tu kwa rais na alimaanisha yeye hakutegemea kabisa uteuzi kama ule. Mwenyewe hakua mwanasiasa wala mtu mwenye madaraka yoyote serikali. Kwa ufupi aliona ni madaraka makubwa ambayo hakuwaza kupata.
 
..wakati Lissu akiwa chuo kikuu Kabudi alikuwa masomoni Ujerumani.

..waalimu wa Lissu ni kama wakina Lamwai, Shivji, Ringo Tenga, magwiji wa kitivo cha sheria miaka ya 90.
Lisu mwenyewe alishakiri kwamba Prof Kabudi alimfundisha The Hill
 
Nipo 100000% kuwa Profesa Kabudi hakujidhalilisha.

Profesa ni mtu anayejithamini na ni mtu mwenye uwezo mkubwa tu wa kutumia lugha ikiwemo ya lugha ya Kiswahili.

Walakin, sio kujidhalilisha.

Kusema aliokotwa jalalani was just a figure of speech. Period.

Hawa mamluki na wakimbizi wametafsiri msemo wake vibaya. Kama kawaida zao to demean, to discredit, to degrade, shame and to disgrace.

Nilisema watashindwa.

Washindwe.
 
Mjinga tu na mwenye chuki ndio hakuweza kumuelewa kabudi. Wala hakuwahi kusema udsm ni jalalani. Wenye kumelewa tulijua alikua anaonesha unyenyekevu tu kwa rais na alimaanisha yeye hakutegemea kabisa uteuzi kama ule. Mwenyewe hakua mwanasiasa wala mtu mwenye madaraka yoyote serikali. Kwa ufupi aliona ni madaraka makubwa ambayo hakuwaza kupata.
WEWE KAMA NI MWANAWE UNA HAKI YA KUSEMA HIVYO. PROF MZMA UNASEMA UMETOLEWA JALALANI ETI NI UNYENYEKEVU? AND AFTER ALL WHY UNYENYEKEVU WA KIJINGA HIVYO, UPUMBAVU ULIOPITILIZA. UNYENYEKEVU WA MTU MWENYE AKILI NI ULE WA KUSEMA Mh Rais.....
KUNA WAKATI ALISEMUITA MAGUFULI..... MHESHIMIWA MUNGU, NAO NI UNYENYEKEVU?

Prof mzima eti hakuwaza madaraka hayo ndiyo uwe Bwege?
 
Hizo ni swaga za kuleta ugali mezani,anaachaje sasa!
jamani hapana, usifike huko! Kuna njia nyingi ukiwa madarakani za kuleta ugali mezani, kweli ni sawa, say, mfano tu, mwanaume kuwa mke wa mtu ili ugali uje mezania? NO NEVER!
 
Back
Top Bottom