Prof Kabudi usiyarudie tena haya ya kujidhalilisha

Prof Kabudi usiyarudie tena haya ya kujidhalilisha

"Hii dawa huku anagawa rais mwenyewe mtaani"

Hivi hii juice ilipotelea wapi na zile cartons zote walizoleta?
images (10).jpeg
 
Lisu mwenyewe alishakiri kwamba Prof Kabudi alimfundisha The Hill
Is kumfundisha mtu chuoni hoja? ndiyo maana nasema wewe ni mfagizi wa corridor Lumumba. Huwezi kuwa na reasoning ya kijinga hivi! Nimekuwa nikikusoma kujua weledi/level of education yako, lkn as days go by, you seem to be mfagizi! chawa kachara asiyekuwa na reasoning!
For your information mimi nimewafundisha wengi wengi for my 20 or so yrs of teaching! Haiondoi ukweli katika elimu kuwa some of my students can be more intelligent/knowledgeable than me in a workplace, even in academic fields!

Walimu wengi waliomfundisha Albert Einstein aliwazidi kufikiri na kugundua theories ambazo zinasimamia dunia tuliyo nayo!
 
Haya mambo hata kijana wa IJA anaweza kuyaelezea, usimpambe
Simpambi namfahamu kwa karibu, ndie alikuwa supervisor wangu wa LL.B dissertation yangu pale UDSM. He is bold!, atamsaidia sana mama kwenye hoja za kisheria.
P
 
1. Kujidhalilisha kuwa umetoka, umeokotwa Jalalani

2. Mheshimiwa Mungu

Jihadhali usije ukayarudia tena.
Umesahau asilete siasa majitaka za juice ya madagascar, alichafua cv yake asana ikapelekea wasomi wa bongo kuonekana taka taka
Thats was so childish
 
Atarudia na hautamfanya lolote huyu Mwalimu wa Tundu Lisu 🐼
Ni mwalimu lakini masomo hakutunga yeye alikuwa anafundisha tu na inatokana na mwanafunzi uelewa wake. Kina siku mwalimu alitaka kutupeleka chaka hisabati fulani darasani. Nilimjibu Kwa hekima kwamba mwalimu naona kama tungepita njia hii. Naye alijibu kiutu uzima kwamba zote ni njia lakini naona hii inaweza kukurahisishia. Akimaanisha kunirahisishia mm siyo yeye
 
Hii jemba ilishawahi mumwita marehemu Magu ati Mh. Mungu.

Nakunuu "Muheshimiwa Mungu..."

Huu ulikiwa ni uchawa kiwango cha lami.

Mzee jirekebishe hatutaki tena hayo mambo yajirudie.
 
Simpambi namfahamu kwa karibu, ndie alikuwa supervisor wangu wa LL.B dissertation yangu pale UDSM. He is bold!, atamsaidia sana mama kwenye hoja za kisheria.
P
Pascal Mayalla Pascal, mbona kama wewe ni mgeni katika siasa za watu weusi? huyu Kabudi hawezi kumwambia Samia jambo ambalo anaona inclination ya Samia iko tofauti na his (Kabudi) own rightful thinking! Anaangalia midomo ya samia inacheza vipi na atapitiliza humo humo ili mradi aende chooni!

Unamsifia Kabudi , seems umesahau kuwa tumbo Kabudi linampelekesha mpaka kujiita katolewa jalalani, anamuita magufuli Mheshimiwa Mungu!

Halafu nikukumbushe, in acaemic field, publications zako katika high ranking peer-reviewed journal as first / senior author ndizo zinazokutambulisha umahili wako katika field na si kufundisha!
 
Is kumfundisha mtu chuoni hoja? ndiyo maana nasema wewe ni mfagizi wa corridor Lumumba. Huwezi kuwa na reasoning ya kijinga hivi! Nimekuwa nikikusoma kujua weledi/level of education yako, lkn as days go by, you seem to be mfagizi! chawa kachara asiyekuwa na reasoning!
For your information mimi nimewafundisha wengi wengi for my 20 or so yrs of teaching! Haiondoi ukweli katika elimu kuwa some of my students can be more intelligent/knowledgeable than me in a workplace, even in academic fields!

Walimu wengi waliomfundisha Albert Einstein aliwazidi kufikiri na kugundua theories ambazo zinasimamia dunia tuliyo nayo!
Wewe mpishi wa Ummy unajua tulikoanzia na niliyemjibu?

Nyie ndio sababu CCM inawadharau na kuwachangia sh million 5

Tutusa wahed 🐼
 
Back
Top Bottom