Ni Kabudi yule yule aliyenukuliwa akikana umuhimu wa Katiba Mpya licha ya kushiriki kwenye mchakato wake.Naunga mkono hoja, that was just a slip of a tongue!. Prof. Kabudi ni bingwa wa Katiba, atamweleza Maza kuhusu ubatili wa Katiba na Ubatili wa Sheria mpya ya uchaguzi aliyoisaini hapa juzi kati hivyo sasa tutarajie huu ubatili utarekeboshwa.
P
Wala si wa 70's ni wa 50'sHivi huwa hamna damu changa ya kuchapa kazi kuliko kuturudishia hawa vikongwe wa 70s.
Kifupi wateule wakichunge na midomoo1. Kujidhalilisha kuwa umetoka, umeokotwa Jalalani
2. Mheshimiwa Mungu
Jihadhali usije ukayarudia tena.
Tulia weweKwamba wewe ndio wa kumonitor? Huku mtandaoni kila mtu kambale aisee
Chuo kikuu ni majalalani1. Kujidhalilisha kuwa umetoka, umeokotwa Jalalani
2. Mheshimiwa Mungu
Jihadhali usije ukayarudia tena.
Haya mambo hata kijana wa IJA anaweza kuyaelezea, usimpambeNaunga mkono hoja, that was just a slip of a tongue!. Prof. Kabudi ni bingwa wa Katiba, atamweleza Maza kuhusu ubatili wa Katiba na Ubatili wa Sheria mpya ya uchaguzi aliyoisaini hapa juzi kati hivyo sasa tutarajie huu ubatili utarekeboshwa.
P
Nimeona mnalia sana kuna nn?Tulia wewe
Kwa huu ujumbe, umemaliza mkuu 👍🏼Kila mtu ana akili akiwa kimya ila akiongea tuu ndio utajua ulikuwa sahihi kumfikiria hivyo au laaah, maana utajikuta unakijutia ulichokiamini, shida ya inakuja pia pale watu wengi tumbo likikoswa chakula
Profesa aliyeamini ili nchi iendelee inahitaji katiba mpyaHuyu ni Propesa mpumbafu asiyeweza kuandika machapisho na kufanya kazi za Ushauri (Consultancies)!
Kule mbeya hakuna kulia?
Mjinga tu na mwenye chuki ndio hakuweza kumuelewa kabudi. Wala hakuwahi kusema udsm ni jalalani. Wenye kumelewa tulijua alikua anaonesha unyenyekevu tu kwa rais na alimaanisha yeye hakutegemea kabisa uteuzi kama ule. Mwenyewe hakua mwanasiasa wala mtu mwenye madaraka yoyote serikali. Kwa ufupi aliona ni madaraka makubwa ambayo hakuwaza kupata.1. Kujidhalilisha kuwa umetoka, umeokotwa Jalalani
2. Mheshimiwa Mungu
Jihadhali usije ukayarudia tena.
Atarudia na hautamfanya lolote huyu Mwalimu wa Tundu Lisu 🐼
Lisu mwenyewe alishakiri kwamba Prof Kabudi alimfundisha The Hill..wakati Lissu akiwa chuo kikuu Kabudi alikuwa masomoni Ujerumani.
..waalimu wa Lissu ni kama wakina Lamwai, Shivji, Ringo Tenga, magwiji wa kitivo cha sheria miaka ya 90.
WEWE KAMA NI MWANAWE UNA HAKI YA KUSEMA HIVYO. PROF MZMA UNASEMA UMETOLEWA JALALANI ETI NI UNYENYEKEVU? AND AFTER ALL WHY UNYENYEKEVU WA KIJINGA HIVYO, UPUMBAVU ULIOPITILIZA. UNYENYEKEVU WA MTU MWENYE AKILI NI ULE WA KUSEMA Mh Rais.....Mjinga tu na mwenye chuki ndio hakuweza kumuelewa kabudi. Wala hakuwahi kusema udsm ni jalalani. Wenye kumelewa tulijua alikua anaonesha unyenyekevu tu kwa rais na alimaanisha yeye hakutegemea kabisa uteuzi kama ule. Mwenyewe hakua mwanasiasa wala mtu mwenye madaraka yoyote serikali. Kwa ufupi aliona ni madaraka makubwa ambayo hakuwaza kupata.
jamani hapana, usifike huko! Kuna njia nyingi ukiwa madarakani za kuleta ugali mezani, kweli ni sawa, say, mfano tu, mwanaume kuwa mke wa mtu ili ugali uje mezania? NO NEVER!Hizo ni swaga za kuleta ugali mezani,anaachaje sasa!