Prof. Kabudi: Uwepo wa Viti Maalum bungeni ni kinyume cha Katiba ila upendeleo tu

Prof. Kabudi: Uwepo wa Viti Maalum bungeni ni kinyume cha Katiba ila upendeleo tu

Wewe angalau umeona mbali..wengine wanabaki kumshambulia kabudi bila kufikilia marambili

Hapo wabunge viti maalumu wajiandae kisaikolojia, muda sio mrefu vitafutwa.

Ngosha amemtanguliza kupima upepo.
 
kabudi is setting the stage for stupidity
hapo ni kama anahalalisha uvunjaji wa katiba
mkosema rais anavunja katiba atasema mbona hata waliotangulia walivunja katika viti maalum
wake up
 
Suala lolote lenye ukweli na maslahi kwa demokrasia na ustawi wa nchi hata lingetolewa na Jangala ningelipa uzito unaostahili. Bila kumung'unya maneno hii ni hoja sahihi na yenye mashiko.

Kati ya watu wanaotia hasara nchi hii ni hawa wabunge wa viti maalum ambao kiuhalisia hawajulikani umaalum wao unatokana na jinsi zao au maeneo wanayowakilisha.

Ingawaje Kabudi ni miongoni mwa wasomi walioamua kuweka taaluma zao pembeni na kuamua kumtumikia kafiri ili wapate kula yao, kwa hili big up angalau kwa kuweka unafiki pembeni na kusema kuhusu "maalum" hawa wasio na umaalum wowote.
 
Afungue kesi ya kikatiba kupinga hili.
Vipi kuhusu kuzuia mgombea binafsi?? Ni kinyume cha katiba??.
Anaonaje ushauri wake kama rafiki wa mahakama kubatilisha ruksa ya mgombea binafsi??
 
Nasubiri wa viti maalumu watoe povu humu.
Je aliongea kama Waziri wa Katiba na Sheria, au kama Prof. Kabudi?
Ikiwa kama ameongea kwa muktadha wa Waziri, something is wrong.
 
kwaio hilo ndo waliloliona kwamba lipo kinyume na katiba ? mengine yanayovunjwa hayaonekani?!
 
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Kabudi amesema uwepo wa viti maalumu katika bunge au baraza la madiwani ni kinyume na katiba na limeachwa liendelee kuwepo kama jambo la upendeleo tu.

Chanzo: TBC!
Distortion as usual!
Sema katoa maelezo gani ya kusupport ilo wazo.
Mambo yaleyale ya kuchagua baadhi ya maneno na kuacha main concept, out of context!
 
haa haaa huyu professa duh kwa hiyo yeye ameshindwa kuishauri serikali isiendelee kuvunja katiba? teh teh wadau mwenye katiba atuwekee hapa aina ya wabunge. maana wasomi waliopo serikalini hawaaminiki kamwe.
Typical akina sisi. Ushapinga na kukandia halafu ndio unaomba references.
 
Back
Top Bottom