Prof. Kabudi: Uwepo wa Viti Maalum bungeni ni kinyume cha Katiba ila upendeleo tu

Prof. Kabudi: Uwepo wa Viti Maalum bungeni ni kinyume cha Katiba ila upendeleo tu

Kwani yeye uteuzi wake kama mbunge anasimama upande gani?
Viti maalum au mbunge wa kuchaguliwa?
 
Kipi kigumu kwako? Soma Ibara ndogo ya 1(b) katika ibara ya 66! Au Hadi uone neno Viti Maalumu? Hii Ni Taaluma ndugu, pole Kama hupati tafsiri hiyo!
Prof Kabudi yuko sahihi..... Ile radimu ya Warioba ndio ilizingatia idea hiyo ya uwepo wa uwiano wa kijinsia kwa njia ya kuchaguliwa siyo watu kuleta wake zao!
 
Wabunge wa viti maalumu ambao ni wanawake imeandikwa wapi?[/QUOTE] Imeandikwa ibara ndogo ya (1) (b)....

Wajumbe wa Bunge
Ibara ya 66. Ibara ndogo ya (1),
Bila ya kuathiri masharti mengine ya ibara hii, kutakuwa na aina zifuatazo za Wabunge, yaani-
(a) Wabunge waliochaguliwa kuwakilisha majimbo ya uchaguzi;
(b) Wabunge wanawake wa idadi inayoongezeka, kuanzia asilimia ishirini ya Wabunge waliotajwa katika aya ya (a),
 
Prof Kabudi yuko sahihi..... Ile radimu ya Warioba ndio ilizingatia idea hiyo ya uwepo wa uwiano wa kijinsia kwa njia ya kuchaguliwa siyo watu kuleta wake zao!
Kinyume na Katiba ipi iwapo hii ya Sasa Ibara ya 66(1)(b) inawatambua hao Wabunge Wanawake? Kinyume na Katiba ina maana Jambo Hilo limezuiliwa na Katiba na halipo Kisheria ila linafanyika! Nec sii Wapuuzi kuweka uuwiano Kama huo kila ufanyikapo Uchaguzi!
 
Kuna watu wanaweka buku saba mbele kuliko maslahi ya nchi. Unaona kabisa mtu anatetea kitu asichokufahamu au kukielewa. Aibu sana
 
Tangu Kabudi ayakane maneno yake mwenyewe na tangu atudanganye kuhusu Accacia, sina imani naye tena, ni mtu wa kutetea kitumbua chake
 
Back
Top Bottom