LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
mkuu ukweli ni upi? wa kuvumilia kuvunja katiba? nchi zingene mara baada ya kumaliza kusema maneno hayo angeambiwa ajiuzulu ama angefukuzwa kwenye uwaziri mara moja.Inapungua kwa kusema ukweli?
wabunge wa viti maalum wa chadema wengi wana upeo sio kama wale wa CCM,kwa hili hata ww ni shahidiWa Chadema wanamtunza Mbowe!
Upendeleo unakubalika!mkuu ukweli ni upi? wa kuvumilia kuvunja katiba? nchi zingene mara baada ya kumaliza kusema maneno hayo angeambiwa ajiuzulu ama angefukuzwa kwenye uwaziri mara moja.
Nitajie Kiti maalumu mmoja pale chadema mwenye upeo!wabunge wa viti maalum wa chadema wengi wana upeo sio kama wale wa CCM,kwa hili hata ww ni shahidi
Hapo wabunge viti maalumu wajiandae kisaikolojia, muda sio mrefu vitafutwa.
Ngosha amemtanguliza kupima upepo.
kwa hiyo kuvunja katiba kunakubalika?Upendeleo unakubalika!
Strategy za Ngosha babu kubwa!Hapo wabunge viti maalumu wajiandae kisaikolojia, muda sio mrefu vitafutwa.
Ngosha amemtanguliza kupima upepo.
Distortion as usual!Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Kabudi amesema uwepo wa viti maalumu katika bunge au baraza la madiwani ni kinyume na katiba na limeachwa liendelee kuwepo kama jambo la upendeleo tu.
Chanzo: TBC!
Typical akina sisi. Ushapinga na kukandia halafu ndio unaomba references.haa haaa huyu professa duh kwa hiyo yeye ameshindwa kuishauri serikali isiendelee kuvunja katiba? teh teh wadau mwenye katiba atuwekee hapa aina ya wabunge. maana wasomi waliopo serikalini hawaaminiki kamwe.
Najua huwezi kuiona. Soma Ibara ndogo (b) Kisha uijadili kichwani mwako kwanza then uje huku!Wabunge wa viti maalumu ambao ni wanawake imeandikwa wapi?