Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sikutegemea kwakweli huyu ndugu awe wa namna hii...Ametuangusha sana wengi tuliokuwa tuna mtegemeaProf amekuwa mjanja sana, sio vibaya wajumbe wakimpumzisha kwa miaka mitano ijayo
Milioni 5 alijenga mita ngapi π π π π
Anarudi kupiga pesaA
Anasema amefanya river training huyu ndo muandika/ mtoa dira ya 2025-2050 utapeli tu na bado anaomba ridhaa tena eti mitano mingine. Kwanini asirudi akafundishe awaachie na wengine waendelee alipoishia?
Anarudi kupiga pesa
Jamaa wapo kupiga pesa za ummaUtamu wa pesa za siasa ushamnogea na madaraka kuwa kwenye baraza la mawaziri