Prof Kitila: Hakuna Chama chenye Akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa

Jumaa Mubarak 😂

Kitilam.png
 
huyo le professer ndo zero kabisa ni wale wa jalalani
 
Ninaendelea kuwaza,kufikiria alichokisema Professor,ila Kuna kila dalili ya ukweli wa kauli!

Kauli hii inaakisi ukweli kuhusu utawala na uongozi ndani ya vyama vya kisiasa.

Hapa kuna mifano mikubwa na muhimu inayothibitisha mada hii:

1. Mfano wa Marekani:
Katika vyama vya kisiasa kama vile Republican na Democratic, kuna kanuni na taratibu zinazodhibiti uongozi. Mwenyekiti wa chama mara nyingi anatarajiwa kuwa kiongozi wa chama, na kwa hivyo hauruhusiwi kushiriki katika uchaguzi wa ndani ili kuepusha mgawanyiko na ushindani wa moja kwa moja dhidi ya makamu wake.

2. Mfano wa Uingereza:
Katika Chama cha Conservative, Mwenyekiti wa chama anaweza kuwa na jukumu muhimu katika kuongoza kampeni za uchaguzi. Ikiwa Mwenyekiti na makamu wake wangeingia kwenye ushindani, hilo lingeweza kuleta mgawanyiko na kukatisha tamaa wanachama wa chama. Hivyo, kuna sera zinazohakikisha kuwa viongozi hawa wanabaki na majukumu yao ya kiutendaji bila kushiriki moja kwa moja kwenye uchaguzi.

3. Mfano wa Afrika Kusini:
Katika Chama cha African National Congress (ANC), kuna sheria ambazo zinazuia viongozi waandamizi kushiriki kwenye uchaguzi wa ndani ili kuepusha migawanyiko na malumbano. Hii inasaidia kuimarisha umoja na lengo la chama, huku ikihakikisha kuwa viongozi wanashughulikia masuala makubwa ya chama badala ya kujihusisha na ushindani wa kibinafsi.

4. Mfano wa Tanzania:
Katika Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwenyekiti wa chama, ambaye pia ni Rais, ana jukumu kubwa katika kuongoza chama. Wakati wa uchaguzi wa ndani, kuna taratibu zinazoweka wazi jinsi viongozi wanavyopaswa kushiriki ili kuondoa mgawanyiko. Hii inasaidia kudumisha umoja na kuimarisha uongozi wa chama.

Kwa hivyo, kauli hii inadhihirisha ukweli kwamba vyama vingi vya kisiasa vinatambua umuhimu wa umoja na ushirikiano, na hivyo havitaruhusu viongozi wakuu kushiriki katika ushindani wa moja kwa moja ili kudumisha utawala bora na demokrasia ya kweli.
 
Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa

Jumaa Mubarak 😂
Huyu plofesa ni mtu wa kufuata mkumbo tu mara yupo CDM mara ACT mara CCM.
 
Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa

Jumaa Mubarak 😂
Kitila ndo bure kabisa
 
Kitila adijidhslilishe bure kwa kuongea au kujifanya anajua sana. Yo make the story short Zuma akiwa Mskamu wa Rsis wa ANC aligombea Thabo Mbeki na akamshinda.

Wakati Madiba anaachia ngazi Makamu Mwenyekiti Thabo Mbeki alihombea na Katibu Mkuu wake Ramaphosa.
 
Kitila kasema uongo. Anataka kutufanya sote ni Ccm ampapo hakuna uwazi katika demokrasia na uchaguzi wowote. Nenda Kenya, uchaguzi uliopita, Rais Uhuru Kinyata alimtosa Rutto aliyekuwa Makamu wa Rais. Ruto kaendesha kampeni bila msaada wa Ikulu, mwisho kashinda uchaguzi na kuwa Rais wa Kenya ya sasa.
 
Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa

Jumaa Mubarak 😂
Prof Kitila huwa anajisikia sana kuwa ana akili kumbe ni za kukariri tuu. Hivi, Chadema haiwezi kuwa na model ya aina yake na ikaigwa na wengine? Kumbe hata ule mpango wake wa Maendeleo kacopy kutoka nchi nyingine?
 
Back
Top Bottom