Prof Kitila: Hakuna Chama chenye Akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa

Jumaa Mubarak 😂

View attachment 3204179
Yeye Mkumbo ndiye hana akili kabisa
 
Amekurupuka changamoto husababishwa na binadamu na binadamu huyo huyo hutakiwa azikabili changamoto na huyo binadamu anapokabiliana na changamoto kumbe anakutana na ubunifu
 
Kitila kasema uongo. Anataka kutufanya sote ni Ccm ampapo hakuna uwazi katika demokrasia na uchaguzi wowote. Nenda Kenya, uchaguzi uliopita, Rais Uhuru Kinyata alimtosa Rutto aliyekuwa Makamu wa Rais. Ruto kaendesha kampeni bila msaada wa Ikulu, mwisho kashinda uchaguzi na kuwa Rais wa Kenya ya sasa.
Jamani msiumie bure, hivi mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuwa CCM kwa mambo ambayo inafanya sasa hivi?

Kuwa CCM uwe mnufaika aidha kwa uchawa, maslahi kwenye vyombo vya maamuzi, ulinzi wa mambo haramu kama muuza pembe za ndovu Kinana kastaafu kwa heshima au uwe mpumbavu.

Wengi ni wapumbavu hawanufaiki ila wameamua kuipenda kama mimi ninavyoipenda Yanga. Ikishinda nafurahia ikifungwa naumia lakini siiachi.

Kitila kafuata maslahi CCM atafanya kila jitihada kuwafurahisha waliompokea na kumpa ulaji, ni wa kupuuzwa tu.
 
Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa

Jumaa Mubarak 😂

View attachment 3204179
Ukiwa msomi ukaingia kwenye siasa lazima kuna asilimia kubwa ya kugeuka na kuwa zero brain
 
Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa

Jumaa Mubarak 😂

View attachment 3204179
VICHAA SIO LAZIMA WAVAE HOVYO NA KUOKOTA MAKOPO.
confused professor 🤣🤣🤣mwaka huu ni mwisho Ubunge ubungo hana chake....🤣🤣🤣
 
Jamani msiumie bure, hivi mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuwa CCM kwa mambo ambayo inafanya sasa hivi?

Kuwa CCM uwe mnufaika aidha kwa uchawa, maslahi kwenye vyombo vya maamuzi, ulinzi wa mambo haramu kama muuza pembe za ndovu Kinana kastaafu kwa heshima au uwe mpumbavu.

Wengi ni wapumbavu hawanufaiki ila wameamua kuipenda kama mimi ninavyoipenda Yanga. Ikishinda nafurahia ikifungwa naumia lakini siiachi.

Kitila kafuata maslahi CCM atafanya kila jitihada kuwafurahisha waliompokea na kumpa ulaji, ni wa kupuuzwa tu.
Wanaahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data
 
Kuna mama Moja mzanzibari aliwai kumwambia kitila ajui chochote lkn anajifanya kuijua Kila jambo.. Walichofanya cdm si kitu kibaya inaweza kuwa somo kwa vyama vingine duniani. Kosa lipi hapo?
 
AMa kweli CHADEMA ni chama kubwa hadi CCM wamekaa wanashangaa miezi miwili CHADEMA kila mahali inaongelewa tu haipoi, safi sana!
 
Kuna mama Moja mzanzibari aliwai kumwambia kitila ajui chochote lkn anajifanya kuijua Kila jambo.. Walichofanya cdm si kitu kibaya inaweza kuwa somo kwa vyama vingine duniani. Kosa lipi hapo?
Niwapumbavu, mpumbavu ni mtu ambae amebobea kwenye jambo fulani halafu anaahirisha kufikiri kwa nafsi a k.a kujizima data
 
Kuna mama Moja mzanzibari aliwai kumwambia kitila ajui chochote lkn anajifanya kuijua Kila jambo.. Walichofanya cdm si kitu kibaya inaweza kuwa somo kwa vyama vingine duniani. Kosa lipi hapo?
Aliwai? 😳

Kitila ajui? 😳

Mama gani huyo? 😳😳
 
Nani alimwambia ana akili? Mzee wa waraka "Ondoa Mbowe" - akaishia kuondoka yeye.
 
Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa

Jumaa Mubarak 😂

View attachment 3204179
Hii kwani sjida hapo ni nini mbona ni sawa tu ndio maana ya democracy hiyo..
 
Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa

Jumaa Mubarak 😂

View attachment 3204179
HUYU NI MPUMBAVU.
KICHWANI HUMO KUNA TAKATAKA.
 
Mkumbo ni mjinga sana. Nadhani anamiss sana Demokrasia iliyopo Chadema na anatamani sana awashawishi CCM wa adopt.

Anapaswa tu kujifunza kuwa kwa yanayoendelea CHADEMA ndo inaenda kuwa mwalimu wa demokrasia nchini
 
Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili kabisa

Jumaa Mubarak 😂

View attachment 3204179
Kitila Toka aanze kukunja noti huko ccm akili zinazidi kupotea tu...
 
Back
Top Bottom