Prof Kitila: Hakuna Chama chenye Akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

Prof Kitila: Hakuna Chama chenye Akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

Mkumbo ni mjinga sana. Nadhani anamiss sana Demokrasia iliyopo Chadema na anatamani sana awashawishi CCM wa adopt.

Anapaswa tu kujifunza kuwa kwa yanayoendelea CHADEMA ndo inaenda kuwa mwalimu wa demokrasia nchini
Haahaa kule ccm ni fomu moja tu inatoka kwenye pochi ya mwenyekiti
 
Duniani kwa sasa hakuna Demokrasia.., Hakuna mwananchi anayechagua mtu... hata wabunge au Rais sio mwananchi ndio anachagua, Iwe USA au popote pale... ukweli ni kwamba Those who nominate Chooses....
Ila ndio hivyo tupo kwenye maigizo na yalifanya kazi / yatafanya kazi iwapo anayedanganywa anahisi / amini kwamba yana ukweli.., You can not deceive, who knows himself to be deceived... Thus,

 
Ndiyo maana tumeona wengine wakimuomba mwamba ajiondoe kwa maslahi ya chama.

Yeyote atakayeshinda,ni lazima mbao zitagawanwa!
 
Back
Top Bottom