Jamani msiumie bure, hivi mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuwa CCM kwa mambo ambayo inafanya sasa hivi?
Kuwa CCM uwe mnufaika aidha kwa uchawa, maslahi kwenye vyombo vya maamuzi, ulinzi wa mambo haramu kama muuza pembe za ndovu Kinana kastaafu kwa heshima au uwe mpumbavu.
Wengi ni wapumbavu hawanufaiki ila wameamua kuipenda kama mimi ninavyoipenda Yanga. Ikishinda nafurahia ikifungwa naumia lakini siiachi.
Kitila kafuata maslahi CCM atafanya kila jitihada kuwafurahisha waliompokea na kumpa ulaji, ni wa kupuuzwa tu.