Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Tunakoelekea utawala wenye nguvu utakuwa wa mwanamke....ndiyo lengo kuu la mpinga kristo.Mtatuabudu tu...no way outNashangaa siku hizi wanaume ndio wanaongoza kwa kujipendekeza zaidi ya wanawake, hasa huko serikalini.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Alopokuwa nje ya ccm alikuwa Professor kweli hebu mkumbuke KITILA wa Bunge la KATIBA
Uwe unasoma kwa umakini maneno ya wanasiasa, kuna ujanja unatumika katika maelezo yao. Hapo kasema "walikua wanapata maji safi na salama" wanapta sio maana yake serikali imefikisha hayo maji, wala hajasema serikali imesambaza mabomba. Kwa hivyo hapo ikitokea akaulizwa mbona huko vijijini hakuna mabomba atasema wanapata maji kutoka kwenye vyanza vya asili kama mito, visima na ziwa
Puuzi weweUwe unasoma kwa umakini maneno ya wanasiasa, kuna ujanja unatumika katika maelezo yao. Hapo kasema "walikua wanapata maji safi na salama" wanapta sio maana yake serikali imefikisha hayo maji, wala hajasema serikali imesambaza mabomba. Kwa hivyo hapo ikitokea akaulizwa mbona huko vijijini hakuna mabomba atasema wanapata maji kutoka kwenye vyanza vya asili kama mito, visima na ziwa
Mtu anaweza Kuwa na jinsia ya kiume lakini asiwe mwanammeNashangaa siku hizi wanaume ndio wanaongoza kwa kujipendekeza zaidi ya wanawake, hasa huko serikalini.
Anyway, alipewa cheo kwa kutetea ujinga wa DPW, hivyo sitakiwi kumshangaa kwa kuendelea kwake kuongea ujinga.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kisa mbususu?Tunakoelekea utawala wenye nguvu utakuwa wa mwanamke....ndiyo lengo kuu la mpinga kristo.Mtatuabudu tu...no way out
Viongozi walio wengi ni waongo tu, hebu sikiliza hii hapa chiniAlichosema Kitila Mkumbo kwenye Sherehe za Uhuru Dodoma.
Wakati tunaanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 mwaka 2000, ilikuwa ni 32% pekee ya Watanzania waishio vijijini walikuwa wanapata huduma ya maji safi na salama, tukajiwekea lengo kuwa ifikapo 2025 tuwe tumesogeza hadi asilimia 85. Kwa takwimu za mwaka 2022 tuko asilimia 77" Prof. Kitila, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
Hivi sikuhizi ma propesa wengi wameona kazi ni siasa tu? Naona kama wanajidhalilisha mno kama yule wa matopeni, ili udumu kwenue siasa na uteuliwe lazina kuwa chawa!!Alichosema Kitila Mkumbo kwenye Sherehe za Uhuru Dodoma.
Wakati tunaanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 mwaka 2000, ilikuwa ni 32% pekee ya Watanzania waishio vijijini walikuwa wanapata huduma ya maji safi na salama, tukajiwekea lengo kuwa ifikapo 2025 tuwe tumesogeza hadi asilimia 85. Kwa takwimu za mwaka 2022 tuko asilimia 77" Prof. Kitila, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
πππππKisa mbususu?
Uko tuendako ni shida.wanaume tunazidi kupungua kwa kasi.Tunakoelekea utawala wenye nguvu utakuwa wa mwanamke....ndiyo lengo kuu la mpinga kristo.Mtatuabudu tu...no way out
SadUko tuendako ni shida.wanaume tunazidi kupungua kwa kasi.