ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Prof. Kitila amesema aliwahi shiriki maandamano mara 3 hapo Arusha tena maandamano ambayo yalikuwa yanazuiwa hivyo walikuwa wanalazimisha.
Kwamba ukilazimisha inavuta attention ya Umma hasa Vijana hivyo wanahamasika kuja.
Akasema ila gwiji wa siasa Rais Samia hazuii tena maandamano,ukitaka andamana na Polisi utapewa hivyo kupelekea maandamano kupoteza radha na hamasa. 😁😁😁😁😁
My Take: Hongera Samia kuituliza Arusha na kuwa kitovu Cha Uwekezaji hasa sekta ya Utalii na Mikutano 👇👇