Prof. Kitila Mkumbo: Arusha Imegeuka Kutoka kuwa Kitovu cha Maandamano hadi kuwa Kitovu cha Uwekezaji

Prof. Kitila Mkumbo: Arusha Imegeuka Kutoka kuwa Kitovu cha Maandamano hadi kuwa Kitovu cha Uwekezaji

..wawekezaji wanakuja, na ajira zinazozalishwa.

..tatizo ni kwamba UMASIKINI na UKOSEFU WA AJIRA, unaongezeka kwa kasi kuliko uwekezaji unaofanyika.

..hatusemi kwamba Samia au Ccm hawafanyi kazi, la hasha. Tunachosema ni kwamba wanafanya kazi kwa kasi ndogo na hivyo kushindwa kuthibiti umasikini, ukosefu wa ajira,...
Kwani Mwinyi anatumia mtishamba gani kule Zanzibar? Ampe Mama Chura kidogo
 
Yaan watajiuliza Mobutu kafika lini Bongo majengo mazuri ya Pesa nyingi yanaotewa nyasi hayana muendelezo wowote nikiyaangalia yale magofu ma'mae roho inaniuma sana
Dege imeuzwa ni Mali ya mtu binafsi sio Serikali tena.

Mwisho yule baba yenu si ndio aliharibu uchumi na sekta ya ujenzi au unajitoa ufahamu?
 
Unajivunia kuwa chawa, yaani kusifu na kuabudu kila kitu. Vijana wa Tanzania ni janga la dunia.
Nioneshe Ibada ya kuabudi ikifanyika.

Tangu lini kufisu jambo zuri ikawa haramu au una matatizo ya akili?
 
Yaan watajiuliza Mobutu kafika lini Bongo majengo mazuri ya Pesa nyingi yanaotewa nyasi hayana muendelezo wowote nikiyaangalia yale magofu ma'mae roho inaniuma sana
Huu ni msiba mzito kwa taifa la CCM.
 
Uwekezaji wa sultan mwarabu wa kuchukua rasimali zetu? Mnatufanya hamnazo ni sawa tu
 
Jibu swali maokoto ya kichawa ndio yakoje,Kitila ndio ameandika huo ujinga,si wewe hapo? Jibu sasa
Kitila ndiyo aliyewasakama waandamanaji wa Arusha na yeye mbona kageuka kuwa chawa? Kama yeye alivyozingatia maokoto ya uchawa na waandamanaji wamezingatia maokoto,ngoma droo.
 
Nioneshe Ibada ya kuabudi ikifanyika.

Tangu lini kufisu jambo zuri ikawa haramu au una matatizo ya akili?
Pale unapoacha kutumia akili yako, unapotumia akili za ccm, unaposifu kila kilicho mbele yako bila kuangalia maslahi ya wananchi, upo kutetea na kuwasifu viongozi kwa mambo mengi ya hovyo, kulinda ukandamizaji wa wananchi, wala rushwa na ufisadi huku wewe ukiwa kijana mdogo tu ambaye bado future yako inahitaji sana nchi iimarike kiuchumi...unakuwa umeabudu na kusifu!
 
Prof. Kitila amesema aliwahi shiriki maandamano mara 3 hapo Arusha tena maandamano ambayo yalikuwa yanazuiwa hivyo walikuwa wanalazimisha.

Kwamba ukilazimisha inavuta attention ya Umma hasa Vijana hivyo wanahamasika kuja.

Akasema ila gwiji wa siasa Rais Samia hazuii tena maandamano,ukitaka andamana na Polisi utapewa hivyo kupelekea maandamano kupoteza radha na hamasa. 😁😁😁😁😁

My Take: Hongera Samia kuituliza Arusha na kuwa kitovu Cha Uwekezaji hasa sekta ya Utalii na Mikutano 👇👇

Huyu SI ndiye yule prof asiyekuwa na maarifa kichwani nae ni kipara kipya tu.
 
Prof. Kitila amesema aliwahi shiriki maandamano mara 3 hapo Arusha tena maandamano ambayo yalikuwa yanazuiwa hivyo walikuwa wanalazimisha.

Kwamba ukilazimisha inavuta attention ya Umma hasa Vijana hivyo wanahamasika kuja.

Akasema ila gwiji wa siasa Rais Samia hazuii tena maandamano,ukitaka andamana na Polisi utapewa hivyo kupelekea maandamano kupoteza radha na hamasa. 😁😁😁😁😁

My Take: Hongera Samia kuituliza Arusha na kuwa kitovu Cha Uwekezaji hasa sekta ya Utalii na Mikutano 👇👇

Maandamano ni njia mojawapo (tena niseme very effective ya kufikisha ujumbe kwa wahusika).
 
Back
Top Bottom