ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Samia amewaweza,mlijofanya kuandamana mwisho wa siku baada ya kukosa watu maandamano yakayeyuka ππKwakweli raha ya maandamano bomu la machozi,,,sio mnaenda maandamano kama mnafanya matembezi ya hisani
= ladhaProf.Kitila amesema aliwahi shiriki maandamano mara 3 hapo Arusha tena maandamano ambayo yalikuwa yanazuiwa hivyo walikuwa wanalazimisha.
Kwamba ukilazimisha inavuta attention ya Umma hasa Vijana hivyo wanahamasika kuja.
Akasema ila gwiji wa siasa Rais Samia hazuii tena maandamano,ukitaka andamana na Polisi utapewa hivyo kupelekea maandamano kupoteza radha na hamasa. πππππ
My Take
Hongera Samia kuituliza Arusha na kuwa kitovu Cha Uwekezaji hasa sekta ya Utalii na Mikutano ππ
Wapi hukoSamia amewaweza,mlijofanya kuandamana mwisho wa siku baada ya kukosa watu maandamano yakayeyuka ππ
Mlikokuwa mnaandamanaWapi huko
Unaachaje kuwa Chawa wa Samia Kwa mfanoNa yeye amegeuka kutoka kuwa Think Tank wa UDASA hadi kuwa CHAWA wa SIR-100
Unaachaje kuwa Chawa wa Samia Kwa mfano
Kama hiviKwakweli raha ya maandamano bomu la machozi,,,sio mnaenda maandamano kama mnafanya matembezi ya hisani
Mwinyi anaijenga Zanzibar kule Wawekezaji wanamiminika, huku kuna sehemu nimepita Mradi wa Serikali umejengwa Porini machakaniKwamba ukilazimisha inavuta attention ya Umma hasa Vijana hivyo wanahamasika kuja.
Hapa Ndio umeongea nini?Mwinyi anaijenga Zanzibar kule Wawekezaji wanamiminika, huku kuna sehemu nimepita Mradi wa Serikali umejengwa Porini machakani
Maokoto ya uchawa ndio yakoje?Asiwacheke hao waandamanaji kuwekeza ni kama yeye alivyozingatia maokoto ya uchawa.
Mwinyi anaijenga Zanzibar kule Wawekezaji wanamiminika, huku kuna sehemu nimepita Mradi wa Serikali umejengwa Porini machakani
Mradi wa Serikali umejengwa Porini machakani majengo yamezungukwa na nyasi tupu hakuna mtu hakuna muendelezo mwisho yatakua magofu ya Kuku wa ZabangaHapa Ndio umeongea nini?
Prof. Kitila amesema aliwahi shiriki maandamano mara 3 hapo Arusha tena maandamano ambayo yalikuwa yanazuiwa hivyo walikuwa wanalazimisha.
Kwamba ukilazimisha inavuta attention ya Umma hasa Vijana hivyo wanahamasika kuja.
Akasema ila gwiji wa siasa Rais Samia hazuii tena maandamano,ukitaka andamana na Polisi utapewa hivyo kupelekea maandamano kupoteza radha na hamasa. πππππ
My Take: Hongera Samia kuituliza Arusha na kuwa kitovu Cha Uwekezaji hasa sekta ya Utalii na Mikutano ππ
View attachment 3033356
Huko ni kigamboni dege unasema yale magorofa πππππ niliwahi kuyaona wakati nakwenda kigamboni.Mradi wa Serikali umejengwa Porini machakani majengo yamezungukwa na nyasi tupu hakuna mtu hakuna muendelezo mwisho yatakua magofu ya Kuku wa Zabanga
Mwambie ukweli huyu chawa!Na yeye amegeuka kutoka kuwa Think Tank wa UDASA hadi kuwa CHAWA wa SIR-100
Yaan watajiuliza Mobutu kafika lini Bongo majengo mazuri ya Pesa nyingi yanaotewa nyasi hayana muendelezo wowote nikiyaangalia yale magofu ma'mae roho inaniuma sanaHuko ni kigamboni dege unasema yale magorofa πππππ niliwahi kuyaona wakati nakwenda kigamboni.