Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nasikia burudani sana jinsi msomi huyu anavyowasilisha hoja mbalimbali za mipango ya wizara yake.
Nna uhakika mkubwa sana nchi inakwenda kubadilika kutokana na mipango mizuri iliyowekwa na serikali ikitokana na ubunifu wake mkubwa.
Amejikita sana kwenye kuinua uchumi hasa maeneo ya kilimo, biashara, viwanda na usafirishaji.
Tusikilize hoja zake kwa niaba ya serikali ndio tutatujua serikali hii inatenda zaidi kuliko kelele.
Nainjoy sana kumsikiliza msomi huyu akiongea kwa data.