InatikisikaMbona Ruto anatikiswa hadi anarushiwa kiatu lakini Kenya haitikisiki? Kama kuna strong institutions nchi itatikisikaje kwa raisi kuambiwa aache kuteka na kuua watu?
Think tank ya chama chawala hii===
Akiwasilisha Ilani ya CCM 2025-2030 amesema hakuna mtu anaweza kumtikisa Rais aache Kuitikisa nchi,
Prof Kitila Mkumbo amesema lazima kumtetea Rais wakati wote popote Kwa nguvu zote.
===
Huyu mpumbavu sana, badala tutete maslahi ya nchi, rasilimali zetu, na pesa z aumma zinazofujwa na wahuni wachache,tukae kumtetea mtu abae ameshindwa kusimamia misingi ya haki na rasilimali za watanzania, ameshindwa kuilinda katiba aliyoapa kuilinda===
Akiwasilisha Ilani ya CCM 2025-2030 amesema hakuna mtu anaweza kumtikisa Rais aache Kuitikisa nchi,
Prof Kitila Mkumbo amesema lazima kumtetea Rais wakati wote popote Kwa nguvu zote.
===
Kenya haitikisiki usiifananishe na hii Banana republic iitwayo TanzaniaInatikisika
Tena huu ni upumbavu wa kiwango cha lami . Hii nchi bado ina propaganda ya kuwatisha wananchiHuyu mpumbavu sana, badala tutete maslahi ya nchi, rasilimali zetu, na pesa z aumma zinazofujwa na wahuni wachache,tukae kumtetea mtu abae ameshindwa kusimamia misingi ya haki na rasilimali za watanzania, ameshindwa kuilinda katiba aliyoapa kuilinda
Kenya ni taifa imara liliojengwa kitaasisi zaidi.Mbona Ruto anatikiswa hadi anarushiwa kiatu lakini Kenya haitikisiki? Kama kuna strong institutions nchi itatikisikaje kwa raisi kuambiwa aache kuteka na kuua watu?
Imagine huyu Mama angerushiwa kiatu?hivi sasa maneno tu anafungia mitandao.Kenya ni taifa imara liliojengwa kitaasisi zaidi.
😆Kenya haitikisiki usiifananishe na hii Banana republic iitwayo Tanzania
Tungekwisha, hadi JF ingepigwa ban😁Imagine huyu Mama angerushiwa kiatu?
Hata hao waandishi wataokuwepo hapo kwenye tukio wangekuwa rounded up na kupelekwa Katavi kulishwa kwa fisi.Tungekwisha, hadi JF ingepigwa ban😁
Sawa,Kenya haitikisiki usiifananishe na hii Banana republic iitwayo Tanzania