Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Baadae utawasikia
. ..wabariki viongozi wetuu.....
Hata wezi wa kura nao wabarikiwe???
. ..wabariki viongozi wetuu.....
Hata wezi wa kura nao wabarikiwe???
Eti huyu naye ni profesa hivi kosa la gwajima ni lipi?hawa ndo wanafanya elimu idharauliwe.===
Akiwasilisha Ilani ya CCM 2025-2030 amesema hakuna mtu anaweza kumtikisa Rais aache Kuitikisa nchi,
Prof Kitila Mkumbo amesema lazima kumtetea Rais wakati wote popote Kwa nguvu zote.
===
Umeongea kikubwa sana, tena kimantiki.Narudia tena hii ya mdude na wenzake siyo mzuri kwa sababu imeingilia uumbaji wa Mwenyenzi Mungu,wote tunapokuwa usingizini business ni kati ya Mungu na mhusika.Watawala waturidhishe sisi wananchi kwamba hawahusiki na wamechukua hatua gani kuwapata wahusika wote.Adamu alipopewa adhabu na Mungu ilituhusu hata sisi ingawa hatukuwepo.Tusipopata hili jibu laana itakuwa kwetu sote.
Idd amini mama atuache kabisa asitutisheTena huu ni upumbavu wa kiwango cha lami . Hii nchi bado ina propaganda ya kuwatisha wananchi
Kwa hiyo ile hotuba ya Askofu Imemtikisa?“Kwa mujibu wa Ibara ya 33(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana taswira tatu muhimu. Rais wetu ni Mkuu wa Nchi; Rais wetu ni Kiongozi wa Serikali; na Rais wetu ni Amiri Jeshi Mkuu. Kwa utambulisho huu wa kikatiba, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nembo muhimu ya umoja wa kitaifa. Kwa sababu hii, tuzingatie sana wosia wa Baba wa Taifa. Katika kitabu chake cha Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania (uk.59-60), Mwalimu ametuasa: “…huwezi kumtikisa Rais wa Nchi bila kuitikisa nchi yenyewe. Ni vizuri jambo hili likatamkwa waziwazi”. Ndugu wanachama wenzangu na watanzania wote kwa ujumla tunao wajibu kama chama, kama nchi na kama watanzania kulinda taswira ya Rais wetu wakati wote na popopte pale ndani na nje ya nchi”- Prof. Mkumbo.
Prof. Kitila Alexander Mkumbo, Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kuandaa Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 akizungumza wakati akiwasilisha Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, Ijumaa tarehe 30 Mei 2025, Dodoma.
View attachment 3351715