Prof. Kitila Mkumbo: Huwezi kumtikisa Rais bila Kuitikisa nchi

Baadae utawasikia
. ..wabariki viongozi wetuu.....
Hata wezi wa kura nao wabarikiwe???
 
Narudia tena hii ya mdude na wenzake siyo mzuri kwa sababu imeingilia uumbaji wa Mwenyenzi Mungu,wote tunapokuwa usingizini business ni kati ya Mungu na mhusika.Watawala waturidhishe sisi wananchi kwamba hawahusiki na wamechukua hatua gani kuwapata wahusika wote.Adamu alipopewa adhabu na Mungu ilituhusu hata sisi ingawa hatukuwepo.Tusipopata hili jibu laana itakuwa kwetu sote.
 
===
Akiwasilisha Ilani ya CCM 2025-2030 amesema hakuna mtu anaweza kumtikisa Rais aache Kuitikisa nchi,

Prof Kitila Mkumbo amesema lazima kumtetea Rais wakati wote popote Kwa nguvu zote.

===
Eti huyu naye ni profesa hivi kosa la gwajima ni lipi?hawa ndo wanafanya elimu idharauliwe.
 
Umeongea kikubwa sana, tena kimantiki.

Kusema fulani ndiye anayehusika kukabiliana na hii dhahama ni kujidanganya.

Tusimame sote kama taifa tumkatae hu huyu Rais muuaji.
Tusiposimama kwa kauli moja na kumkataa na kuendekea kumyunga mkono ama kujipendekeza, nasi tutaibeba dhambi yake.
 
Title: Professor
Akili: Mwijaku

Hawa wajinga wajinga dawa yao ipo jikoni
 
Mwambie Kitila Seneti wameshasema Rais wake anatishia usalama wa Region na maslahi ya Marekani.

Ajiandae kwenda kumsalimia The Hague
 
Kwa hiyo ile hotuba ya Askofu Imemtikisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…