Tetesi: Prof. Kitila Mkumbo kuchuana vikali na Nyalandu jimboni

Karibu mkuu wa wizara anaanzaje siasa wakati hajaomba kuacha kazi?
Yeye ni MTENDAJI wa wizara..... Hapo sheria inamziba mdomo kuongelea politics.

Au wajuzi wa mambo mnasemaje?
 
Hivi wagombea hakuna cdm,wakimsimamisha nyalandu watakua wajinga kma bashite
 
Nyalandu ni Dr wa nini? Maana ndo nasikia leo..!!
 
Nyalandu wala Chadema hawajasema nnani atagombea
We unategemea nani atasimama..
Unadhani hatua aliyofikia NYALANDU si kukurupuka amejipanga kwa kuwa anajua uchaguzi utarudiwa na anahitaji la kurudisha nafasi yake
 
Hapo ndio naamin vyama vyetu vya siasa viongozi wao wanafikiria kwa makalio badala ya vichwa.... hv mtu kang'atuka hata mwez hujafika then mnampa nafas ya kugombea ubunge ... unazani watajisikiaje wale wafia chama
Watajiskia poa sana ila upande alikowakimbia ni maumivu
 
Nani kakuambia Nyarandu anarudi singida?,nyarandu anakwenda kuchukua jimbo la lema arusha
 
Karibu mkuu wa wizara anaanzaje siasa wakati hajaomba kuacha kazi?
Yeye ni MTENDAJI wa wizara..... Hapo sheria inamziba mdomo kuongelea politics.

Au wajuzi wa mambo mnasemaje?
Unamuongeleaje kitila mkumbo? [emoji196]
 
......sasa mtu amehamia juzi tu mara paaah anapewa nafasi ya kugombea ubunge?, wale watu waliojitoa kwa chama jimboni hawana umuhimu?..
 
Watajiskia poa sana ila upande alikowakimbia ni maumivu


Yaani ukitaka tufeli CHADEMA tumweke mtu mwingine tiofaut na nyalandu !jaman CCM kila mtu ana nyumba yake masuala ya kutuchagulia chakula hatuyapendi tena wakome na mkome !mkeo kakushinda kazi kumchunguza mke wa jiran yako !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…