Prof. Kitila Mkumbo: SGR imewaongezea Watanzania furaha

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Akizungumza kupitia jukwaa la KumekuchaClub la mtandao wa kijamii wa Clubhouse Novemba 03, 2024, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema haya:

Muda wa kusafiri kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma umepungua sana, sasa hivi ni kwa saa tatu badala ya saa mpaka kumi na hivyo kupunguza hali ya ajali (Kwa kutumia treni ya umeme kwenye reli ya kisasa ya SGR).

Tulieleza pia kuhusu abiria zaidi ya laki sita, na fedha ambazo imepatikana takribani Shilingi bilioni 16 lakini tukaeleza namna ambavyo mradi unafungua shoroba nyingine za utalii, mbuga yetu ya wanyama ya Mikumi imechangamka sana, kwasababu sasa pale kuna kituo cha Kilosa, kwahiyo treni ikifika pale watalii wanakwenda moja kwa moja mbugani wakati huko zamani walikuwa wanateseka sana, kwahiyo treni hii imefungua fursa nyingi kwenye sekta hii.

Lakini, kikubwa sana kwenye upande wa uwekezaji, wawekezaji wengi kwenye shoroba wameanza kuchukua maeneo kwa ajili ya uwekezaji, kwasababu anajua akizalisha bidhaa, atasafirisha kwenye treni zitakwenda bandarini moja kwa moja, kwahiyo kuna mwitiko mkubwa sana.

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) mpaka sasa wameshasajili miradi 519 ya uwekezaji kwenye shoroba za reli ya SGR, na tunakadiria kuwa uwekezaji wake ni takribani Dola za Kimarekani bilioni 4. 6 na ajira zaidi ya laki moja zinaweza kuzalishwa, kwahiyo haya ni baadhi ya mafanikio ambayo tumeyaona, na kwenye saikolojia ni kwamba mradi huu umeongeza furaha sana, kwasababu Mtanzania yeyote ambaye ameusikia, ameutumia yaani watu wana furaha, kwamba hiki ni kitu chetu, hii ni reli yetu, hii ni treni yetu, watu wana furaha kitu ambacho ni kizuri.

EMU Tanzania.jpg
 
To be honest....
Kweli mTanzania mwenye maisha ya chini asie weza hata kujilipia bill ya umeme wa REA hiyo SGR umemuongezea furaha ya wapi...☹️
Kwanini asiseme tu kwamba hiyo SGR imeongeza furaha kwa wakazi wa Dar, Moro na Dom wenye maisha na uwezo wa kati..🙄
 
Nauli ya hiki chuma ni Aje Mpaka Dom!
 
To be honest....
Kweli mTanzania mwenye maisha ya chini asie weza hata kujilipia bill ya umeme wa REA hiyo SGR umemuongezea furaha ya wapi...☹️
Kwanini asiseme tu kwamba hiyo SGR imeongeza furaha kwa wakazi wa Dar, Moro na Dom wenye maisha na uwezo wa kati..🙄
Wanalipa wengi tu nauli tsh. 13000kutoka dar moro wanamudu ni hela ya kawaida kwa watanzania asilimia 98.99
 
Akizungumza kupitia jukwaa la KumekuchaClub la mtandao wa kijamii wa Clubhouse Novemba 03, 2024, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema haya:

Muda wa kusafiri kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma umepungua sana, sasa hivi ni kwa saa tatu badala ya saa mpaka kumi na hivyo kupunguza hali ya ajali (Kwa kutumia treni ya umeme kwenye reli ya kisasa ya SGR).

Tulieleza pia kuhusu abiria zaidi ya laki sita, na fedha ambazo imepatikana takribani Shilingi bilioni 16 lakini tukaeleza namna ambavyo mradi unafungua shoroba nyingine za utalii, mbuga yetu ya wanyama ya Mikumi imechangamka sana, kwasababu sasa pale kuna kituo cha Kilosa, kwahiyo treni ikifika pale watalii wanakwenda moja kwa moja mbugani wakati huko zamani walikuwa wanateseka sana, kwahiyo treni hii imefungua fursa nyingi kwenye sekta hii.

Lakini, kikubwa sana kwenye upande wa uwekezaji, wawekezaji wengi kwenye shoroba wameanza kuchukua maeneo kwa ajili ya uwekezaji, kwasababu anajua akizalisha bidhaa, atasafirisha kwenye treni zitakwenda bandarini moja kwa moja, kwahiyo kuna mwitiko mkubwa sana.

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) mpaka sasa wameshasajili miradi 519 ya uwekezaji kwenye shoroba za reli ya SGR, na tunakadiria kuwa uwekezaji wake ni takribani Dola za Kimarekani bilioni 4. 6 na ajira zaidi ya laki moja zinaweza kuzalishwa, kwahiyo haya ni baadhi ya mafanikio ambayo tumeyaona, na kwenye saikolojia ni kwamba mradi huu umeongeza furaha sana, kwasababu Mtanzania yeyote ambaye ameusikia, ameutumia yaani watu wana furaha, kwamba hiki ni kitu chetu, hii ni reli yetu, hii ni treni yetu, watu wana furaha kitu ambacho ni kizuri.

Mbona mchongoko ni kama umebutuliwa
Hivi anafahamu kuna watu wamekesha porini jana?
 
Maneno haya si mageni jijini…labda uwe mgeni wa jiji…
 
Back
Top Bottom