Prof. Kitila Mkumbo: SGR imewaongezea Watanzania furaha

Prof. Kitila Mkumbo: SGR imewaongezea Watanzania furaha

To be honest....
Kweli mTanzania mwenye maisha ya chini asie weza hata kujilipia bill ya umeme wa REA hiyo SGR umemuongezea furaha ya wapi...[emoji3525]
Kwanini asiseme tu kwamba hiyo SGR imeongeza furaha kwa wakazi wa Dar, Moro na Dom wenye maisha na uwezo wa kati..[emoji849]
Mh mjumbe, furaha za hao zinawakilisha furaha za wote waliopo pande tofauti tofauti za Tz[emoji2]
 
Back
Top Bottom