The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,122
Nauli ya hiki chuma ni Aje Mpaka Dom!Akizungumza kupitia jukwaa la KumekuchaClub la mtandao wa kijamii wa Clubhouse Novemba 03, 2024, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema haya:
Muda wa kusafiri kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma umepungua sana, sasa hivi ni kwa saa tatu badala ya saa mpaka kumi na hivyo kupunguza hali ya ajali (Kwa kutumia treni ya umeme kwenye reli ya kisasa ya SGR).
Tulieleza pia kuhusu abiria zaidi ya laki sita, na fedha ambazo imepatikana takribani Shilingi bilioni 16 lakini tukaeleza namna ambavyo mradi unafungua shoroba nyingine za utalii, mbuga yetu ya wanyama ya Mikumi imechangamka sana, kwasababu sasa pale kuna kituo cha Kilosa, kwahiyo treni ikifika pale watalii wanakwenda moja kwa moja mbugani wakati huko zamani walikuwa wanateseka sana, kwahiyo treni hii imefungua fursa nyingi kwenye sekta hii.
Lakini, kikubwa sana kwenye upande wa uwekezaji, wawekezaji wengi kwenye shoroba wameanza kuchukua maeneo kwa ajili ya uwekezaji, kwasababu anajua akizalisha bidhaa, atasafirisha kwenye treni zitakwenda bandarini moja kwa moja, kwahiyo kuna mwitiko mkubwa sana.
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) mpaka sasa wameshasajili miradi 519 ya uwekezaji kwenye shoroba za reli ya SGR, na tunakadiria kuwa uwekezaji wake ni takribani Dola za Kimarekani bilioni 4. 6 na ajira zaidi ya laki moja zinaweza kuzalishwa, kwahiyo haya ni baadhi ya mafanikio ambayo tumeyaona, na kwenye saikolojia ni kwamba mradi huu umeongeza furaha sana, kwasababu Mtanzania yeyote ambaye ameusikia, ameutumia yaani watu wana furaha, kwamba hiki ni kitu chetu, hii ni reli yetu, hii ni treni yetu, watu wana furaha kitu ambacho ni kizuri.
Wanalipa wengi tu nauli tsh. 13000kutoka dar moro wanamudu ni hela ya kawaida kwa watanzania asilimia 98.99To be honest....
Kweli mTanzania mwenye maisha ya chini asie weza hata kujilipia bill ya umeme wa REA hiyo SGR umemuongezea furaha ya wapi...☹️
Kwanini asiseme tu kwamba hiyo SGR imeongeza furaha kwa wakazi wa Dar, Moro na Dom wenye maisha na uwezo wa kati..🙄
Mbona mchongoko ni kama umebutuliwaAkizungumza kupitia jukwaa la KumekuchaClub la mtandao wa kijamii wa Clubhouse Novemba 03, 2024, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema haya:
Muda wa kusafiri kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma umepungua sana, sasa hivi ni kwa saa tatu badala ya saa mpaka kumi na hivyo kupunguza hali ya ajali (Kwa kutumia treni ya umeme kwenye reli ya kisasa ya SGR).
Tulieleza pia kuhusu abiria zaidi ya laki sita, na fedha ambazo imepatikana takribani Shilingi bilioni 16 lakini tukaeleza namna ambavyo mradi unafungua shoroba nyingine za utalii, mbuga yetu ya wanyama ya Mikumi imechangamka sana, kwasababu sasa pale kuna kituo cha Kilosa, kwahiyo treni ikifika pale watalii wanakwenda moja kwa moja mbugani wakati huko zamani walikuwa wanateseka sana, kwahiyo treni hii imefungua fursa nyingi kwenye sekta hii.
Lakini, kikubwa sana kwenye upande wa uwekezaji, wawekezaji wengi kwenye shoroba wameanza kuchukua maeneo kwa ajili ya uwekezaji, kwasababu anajua akizalisha bidhaa, atasafirisha kwenye treni zitakwenda bandarini moja kwa moja, kwahiyo kuna mwitiko mkubwa sana.
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) mpaka sasa wameshasajili miradi 519 ya uwekezaji kwenye shoroba za reli ya SGR, na tunakadiria kuwa uwekezaji wake ni takribani Dola za Kimarekani bilioni 4. 6 na ajira zaidi ya laki moja zinaweza kuzalishwa, kwahiyo haya ni baadhi ya mafanikio ambayo tumeyaona, na kwenye saikolojia ni kwamba mradi huu umeongeza furaha sana, kwasababu Mtanzania yeyote ambaye ameusikia, ameutumia yaani watu wana furaha, kwamba hiki ni kitu chetu, hii ni reli yetu, hii ni treni yetu, watu wana furaha kitu ambacho ni kizuri.
Maneno haya si mageni jijini…labda uwe mgeni wa jiji…Akizungumza kupitia jukwaa la KumekuchaClub la mtandao wa kijamii wa Clubhouse Novemba 03, 2024, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema haya:
Muda wa kusafiri kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma umepungua sana, sasa hivi ni kwa saa tatu badala ya saa mpaka kumi na hivyo kupunguza hali ya ajali (Kwa kutumia treni ya umeme kwenye reli ya kisasa ya SGR).
Tulieleza pia kuhusu abiria zaidi ya laki sita, na fedha ambazo imepatikana takribani Shilingi bilioni 16 lakini tukaeleza namna ambavyo mradi unafungua shoroba nyingine za utalii, mbuga yetu ya wanyama ya Mikumi imechangamka sana, kwasababu sasa pale kuna kituo cha Kilosa, kwahiyo treni ikifika pale watalii wanakwenda moja kwa moja mbugani wakati huko zamani walikuwa wanateseka sana, kwahiyo treni hii imefungua fursa nyingi kwenye sekta hii.
Lakini, kikubwa sana kwenye upande wa uwekezaji, wawekezaji wengi kwenye shoroba wameanza kuchukua maeneo kwa ajili ya uwekezaji, kwasababu anajua akizalisha bidhaa, atasafirisha kwenye treni zitakwenda bandarini moja kwa moja, kwahiyo kuna mwitiko mkubwa sana.
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) mpaka sasa wameshasajili miradi 519 ya uwekezaji kwenye shoroba za reli ya SGR, na tunakadiria kuwa uwekezaji wake ni takribani Dola za Kimarekani bilioni 4. 6 na ajira zaidi ya laki moja zinaweza kuzalishwa, kwahiyo haya ni baadhi ya mafanikio ambayo tumeyaona, na kwenye saikolojia ni kwamba mradi huu umeongeza furaha sana, kwasababu Mtanzania yeyote ambaye ameusikia, ameutumia yaani watu wana furaha, kwamba hiki ni kitu chetu, hii ni reli yetu, hii ni treni yetu, watu wana furaha kitu ambacho ni kizuri.
Serikali ya CCM, alitimiza kilichoandikwa kwenye ilani ya chama chake. Ubaguzi wa kujaribu kumpamba hayati kwa kazi ya kutimiza ahadi ya kampeni ya 2015 ni sawa na kutumia nguvu nyingi katika kujaribu kuwatenganisha marais wa Tanzania.Sifa zote kwa Magufuli
Kwanza hizo ni kodi za watanzaniaSerikali ya CCM, alitimiza kilichoandikwa kwenye ilani ya chama chake. Ubaguzi wa kujaribu kumpamba hayati kwa kazi ya kutimiza ahadi ya kampeni ya 2015 ni sawa na kutumia nguvu nyingi katika kujaribu kuwatenganisha marais wa Tanzania.
Wewe unayetumia jina la myahudi mmoja wa Israel ambaye nina uhakika halijui jina lako halisi ndiye mtu mwenye akili kushinda kila mtu hapa Tanzania!.Sijawahi kuona Prof mjinga kama huyu mzee
Kwani Steven ni jina la ukoo gani Tanzania? shame on youWewe unayetumia jina la myahudi mmoja wa Israel ambaye nina uhakika halijui jina lako halisi ndiye mtu mwenye akili kushinda kila mtu hapa Tanzania!.
Walau nyerere ni mweusi nwenzetu ,wewe ndio unatia aibu kujifananisha na waarabu siju wazungu ,AIBUKwani Steven ni jina la ukoo gani Tanzania? shame on you
Hakufikii wewe na hutakaa ufikie kiwango chake cha elimu .Unatia aibu kuwa na uwivu kwa wanaume wenzeka ,kisa tu ana elimu kuliko weweSijawahi kuona Prof mjinga kama huyu mzee
Nyumbu wa chadema mmelaaniwaPale profesa anapokuwa chawa wa form four failure (FFF) huwa inafikirisha sana.