Umemuelewa lakini?Akili inaanza kukaasawa sasa
Nadhani hujamuelewa!Kweli ukiwa nje akili zinakaa sawa, au ndio wamepewa go ahead na mwenyekiti ili ionekane ni ajenda yao na sio presha ya wananchi?
Nieleweshe mkuuUmemuelewa lakini?
Wewe ndiye mentor wao 😂😂😂😂Hahahaaaa...... Kitila na Kabudi wanafanana sana!
Unaweza kuwa sahihi kwa % fulani.Kweli ukiwa nje akili zinakaa sawa, au ndio wamepewa go ahead na mwenyekiti ili ionekane ni ajenda yao na sio presha ya wananchi?
ni hasira ya kuondolewa baraza la mawaziri.Akili inaanza kukaasawa sasa
Tueleweshe bwashee.Nadhani hujamuelewa!
Yeye anataka ile Katiba ya Chenge ndio ipigiwe kura¡Nieleweshe mkuu
Wote ni Maprofesa wa Jalalani😅😅😅Hahahaaaa...... Kitila na Kabudi wanafanana sana!
Prof Kitilla anataka tuipigie kura katiba ya Chenge " Katiba Pendekezwa"Tueleweshe bwashee.
Basi inatosha mkuu shukran sanaYeye anataka ile Katiba ya Chenge ndio ipigiwe kura¡
Hiyo katiba sio kipaumbele cha chama chake kwa Sasa."Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
Kwa hatua tuliyonayo hata hiyo iliyopendekezwa tuanze nayo kwa sababu ni vipengele vichache sana vinavyopingana na katiba ya Warioba vingi viliingizwa. Hivyo vichache vijadiliwe.Prof Kitilla anataka tuipigie kura katiba ya Chenge " Katiba Pendekezwa"