Prof. Kitila Mkumbo: Tangu 2014 tulishakubaliana kuwa na Katiba Mpya, kilichobaki ni utekelezaji

Prof. Kitila Mkumbo: Tangu 2014 tulishakubaliana kuwa na Katiba Mpya, kilichobaki ni utekelezaji

Nadhani hata Job Ndugai ukimuuliza atakupa majibu haya haya
 
Wameanza kurudi #Tutaelewana tu.

Nadhani hata Job Ndugai ukimuuliza atakupa majibu haya haya
#Tutaelewana tu.

Ni kawaida saana mambo kujichekecha yenyewe na kukaa sawa as per public demand mdogo mdogo tutaelewana tu.Ukweli huwa unajitenga na Laghai ata uweke Hila vipi,ukweli mwishoni hujidhihirisha.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Huyu profesa ni mpumbavu ,wakati wa jiwe alisema haoni haja ya kudai katiba mpya tuna mambo mengi muhimu ,leo kakosa cheo anaanza kubadilika ,shwain!
 
Wakishushwa kwenye ma V8 na kukosa magari yenye bendera wanaanzaga kuwa na akili wakirudishwa zinapotea tena
 
Huyu profesa ni mpumbavu ,wakati wa jiwe alisema haoni haja ya kudai katiba mpya tuna mambo mengi muhimu ,leo kakosa cheo anaanza kubadilika ,shwain!
Watu wanaenda na biti.
 
Tueleweshe bwashee.
Nadhani watu wamesahau kidogo kuhusu Katiba. Wapinzani hawataki Katiba iliyopendekezwa na bungue la Katiba maana wanadai Ina mapungufu makubwa. Lakn CCM inaonekana hata hii ya bunge la Katiba hawamtaki. Sasa inawezekana CCM wakikubali watakuja na Katiba ya bunge la Katiba.
 
Kuna jambo linatakiwa kuwekwa sawa tena kwa msisitizo hapa. La sivyo wananchi tutapewa kile tusichohitaji!
Kwamba wataalam wa katiba na sheria waweke wazi mapungufu ya katiba iliyopendekezwa na Warioba na kuwa tunahitaji katiba hasa na si ile rasimu ya mchongo
 
  • Thanks
Reactions: Ame
"Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.

Wameanza kurudi kwenye akili zao za kawaida baada ya ugali na mboga kumwagika !
Kiukweli hatuwaamini Tena Bali porojo zenu zifanyeni sebuleni kwenu na watoto wa watoto wenu mpyuuuuu
 
Kupiga makelele baada ya kunyang'anywa pipi🐒🐒🐒
20220314110252.jpg
 
Back
Top Bottom