Hapa nimetoka kapa; utadhani sijui kusoma. Labda unifafanulie ndiyo nitaelewa. By the way, inaonyesha kama physically unanifahamu, au?Hizi ni dalili mbaya sana za woga!
Comrade wewe ni bonge moja la muoga!
Watu wa ndani wakikutonya yaliyo ndani amini wanachosema hata kama huwaamini.
"Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
🤣🤣🤣🤣Akitemea na huo ubunge ataitaka Katiba ya warioba tu"Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
Kuna watu hawajui tofauti ya "rasimu ya Warioba" na "katiba inayopendekezwa" (ya CCM).Umemuelewa lakini?
Yes. Wakati katiba bora ni kuanzia kwa rasimu ya Warioba.Yeye anataka ile Katiba ya Chenge ndio ipigiwe kura¡
mchumia tumbo huyo."Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
Prof katumia akili kubwa sana kuongea, watu wengi hawawezi kumuelewa.Wewe unamwe!ewa Sugu tu huna kichwa cha kumuelewa Prof!
Bado amekupiga chenga sana. Huyu anaipigia debe katiba inayopendekezwa. Sijui kama unajua hiyo inayopendekezwa ilivyohama kutoka kwenye rasimu ya Warioba ambayo ndiyo maoni ya wananchi?Wameanza kurudi kwenye akili zao za kawaida baada ya ugali na mboga kumwagika !
Kiukweli hatuwaamini Tena Bali porojo zenu zifanyeni sebuleni kwenu na watoto wa watoto wenu mpyuuuuu
Nilichomaanisha ni kuwa hao watu wenye guts za kuongea kwenye media ni muhimu sana. Tunaweza kuwapuuza lakini tusidharau hoja zao.Hapa nimetoka kapa; utadhani sijui kusoma. Labda unifafanulie ndiyo nitaelewa. By the way, inaonyesha kama physically unanifahamu, au?
Wananchi wa Tanzania wanaweza kuikataa katiba inayopendekezwa? 90% hawajui lolote halafu wakatae? Ignorance ya watanzania ndiyo mtaji wa CCM kuendelea kuwaburuza wananchi. CCM hawataki kusikia kitu kinaitwa katiba mpya.Mimi nadhani sote tuanaotaka Katiba Mpya tukubaliane kuanza na ile Katiba Pendekezwa ambayo inahitaji maboresho maeneo mengi then ikipelekwa kwa wananchi kupigiwa kura waikatae kwanza ifanyiwe maboresho kulingana na wakati wa sasa na wa baadae!
2014 hadi sasa ni miaka 8. Kuna mengi sana yamebadilika!
Uko sahihi kabisa mkuu.Wanaodai wako sahihi kama wananchi walishiriki kutoa maoni na tume ikayachukua nakutengeneza rasimu, yalipofikishwa bungeni wakayatoa kwa kiwango cha zaidi ya 70% maana yake maoni ya wananchi yalipuuzwa ndomana watu wanataka mchakato uanzie pale kwenye rasimu ya warioba.
Ni jukumu letu kuwaelisha waijue... kwa maneno rahisi rahisi na mepesi.Wananchi wa Tanzania wanaweza kuikataa katiba inayopendekezwa? 90% hawajui lolote halafu wakatae? Ignorance ya watanzania ndiyo mtaji wa CCM kuendelea kuwaburuza wananchi. CCM hawataki kusikia kitu kinaitwa katiba mpya.
Waliopo wanaoweza kuongelea haya mambo ni wengi mno wanatosha na hivyo hakuna haja ya mawaziri wastaafu nao kujiingiza tena kwenye mambo madogo madogo kama haya. Zaidi ni kuwa aliyeongea ni mbunge na hivyo hana haja ya kuwa anaongelea kwenye majukwaa uchwara, aende bungeni akawasilishe hoja yake huko. Hii yote inasababishwa na mtu kutokuwa focused, anakuwa kila mahali yupo utadhani ni upepoNilichomaanisha ni kuwa hao watu wenye guts za kuongea kwenye media ni muhimu sana. Tunaweza kuwapuuza lakini tusidharau hoja zao.
Muhimu kwa sasa ni kujua kuwa mchakato wa Katiba Mpya upo njiani. Kinachogomba ni style ya kuibua mchakato wenyewe!
Mbona ulikuwa karibu sana na Mwendazake hukumshauri haya yote, hii ni sawa na unafiki uliopitiliza mipaka ya unafiki"Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
Kuna sheria au kanuni inawazuia au ni utashi binafsi??Waliopo wanaoweza kuongelea haya mambo ni wengi mno wanatosha na hivyo hakuna haja ya mawaziri wastaafu nao kujiingiza tena kwenye mambo madogo madogo kama haya. Zaidi ni kuwa aliyeongea ni mbunge na hivyo hana haja ya kuwa anaongelea kwenye majukwaa uchwara, aende bungeni akawasilishe hoja yake huko. Hii yote inasababishwa na mtu kutokuwa focused, anakuwa kila mahali yupo utadhani ni upepo
Sheria ya common sense ambayo kila mwanadamu anaitumia bila kujali kuna sheria au hakuna sheria. .....just a rule which can be applied by an ordinary man mind in the street!Kuna sheria au kanuni inawazuia au ni utashi binafsi??