Sheria ya common sense ambayo kila mwanadamu anaitumia bila kujali kuna sheria au hakuna sheria. .....just a rule which can be applied by an ordinary man mind in the street!
Kwa hatua tuliyonayo hata hiyo iliyopendekezwa tuanze nayo kwa sababu ni vipengele vichache sana vinavyopingana na katiba ya Warioba vingi viliingizwa. Hivyo vichache vijadiliwe.
Huyu naye Uzee unamwingia haraka kabla ya umri. Yaani ile katiba ya CCM ndiyo anataka itumike. Seriously. Hawa Mapropesa wa CCM ni hatari sana kwa Taifa hili.
Mnafiki sana huyo, Kati watu nilikuwa na waadimire kwa hoja na mtazamo ni huyu Kitila lakini aliyokuja kuyafanya yalinifanya nikamuona ni moja kati ya watu wa hovyo sana