Prof Kitila: Serikali Imepokea Ushauri wa Kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar

Prof Kitila: Serikali Imepokea Ushauri wa Kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar

Lini hiyo, au ni day dreams? Hilo la Busisi lenyewe lina kilomita chache ndio huko kujikongoja, itakuwa hilo la Zanzibar? Au ilikuwa story za kubembelezea mtoto anywe uji?
Walitaka kuzima skendo ya mnyika kujiudhuru kisa ufisadi ndani ya chadema.
 
Utapeli upi? Sio mara ya kwanza Hilo wazo na Wachina wamejenga daraja huko kwao la zaidi ya km 60 ,tutawatumia hao hao kujenga umbali huo usiozidi km 50
Mkuu muwe mnatambua pia hutuma za matibabu zilivyo kumbwa,maana hata MAREHEMU wakati mwingine huwa wanadaiwa.
 
Akichangia mada kwenye kongamano la Uwekezaji kati ya China-Tanzania msomi wa UDSM ameshauri Serikali kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar Kwa kushirikiana na China.

Akijibu hoja hiyo Waziri wa uwekezaji prof.Kitila mkumbo amesema Serikali Imepokea Ushauri na itaufanyia kazi.

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1826635489950220573?t=qhv8EzR9Yg2lI2iijVWqOw&s=19

My Take
Mfikirie pia kujenga daraja au Trum kati ya Tanzania-DRC Congo via Lake Tanganyika

Sidhani kama kwa sasa kuna haja kubwa ya daraja ILO kwa Sababu hatuna biashara kubwa tunafanya na Zanzibar itakuwa ni matumizi mabaya ya fedha za umma na kuingia mikopo isiyokuwa ya lazima
 
Ni Suala la kufanya maamuzi na Kupitisha kama mradi wa uwekezaji wa ubia na kutangaza.
It's impossible kwa miaka hii ya karibuni
Kuna namna nyingi ya kiongozi kujibu swali, hivyo alivyojibu ni moja ya namna nzuri

Mradi kama huu unazungumzia zaidi ya trillion 100. Hakuna mwekezaji anakuja kuwekeza trillion 100 akujengee daraja, hiyo ni investment kubwa mno alafu malipo yake nu kulipisha wanaovuka. It's impossible

Pia jiografia ya eneo Kati ya dar na Zanzibar ni ngumu mno, itatumika miaka teknolojia ya juu kufanya hiko kitu ambacho uhalisia hakuna atafanya
 
Hivi Kwa hali ya Uchumi wetu tutaweza kweli hizo gharama za Ujenzi?

Labda kama tutajenga Kwa njia ya PPP then tukawa tunatumia Kwa kulipia kama ilivyo daraja la Mwalimu Nyerere - Kigamboni

Ni wazo zuri kulitekeleza kama Kuna hiyo nafasi

..nashauri lijengwe na SEKTA BINAFSI.
 
Akichangia mada kwenye kongamano la Uwekezaji kati ya China-Tanzania msomi wa UDSM ameshauri Serikali kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar Kwa kushirikiana na China.

Akijibu hoja hiyo Waziri wa uwekezaji prof.Kitila mkumbo amesema Serikali Imepokea Ushauri na itaufanyia kazi.

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1826635489950220573?t=qhv8EzR9Yg2lI2iijVWqOw&s=19

My Take
Mfikirie pia kujenga daraja au Trum kati ya Tanzania-DRC Congo via Lake Tanganyika

Sasa hapa napo Dotto Magari akiwasema "wasomi" kwa maneno yake ya shombo mtakasirika?
 
Kuna wakati baadhi ya wafanya biashara huingilia kuhujumu miradi ya Serikali, nafikiri kwenye huu Mradi hatua za tahadhali zichukuliwe mapema.

Mradi usije kuishia kwenye Makaratasi, maana Kuna watu wamewekeza fedha zao kwenye biashara za boat
Hakuna mwekezaji ataweka zaidi ya trillion 100 kujenga Daraja akisubiri kurudisha pesa kwa kulipisha wanaovuka
Pia hiyo gharama tu ni kubwa sana hakuna mwekezaji wa hivyo. Pia tu hakuna mahitaji hayo ya Daraja

Litakuja kujengwa pengine miaka ya baadae sana huko mbeleni
 
Chawa msomi katika ubora wake hawezi sema mradi huu utakuwa mzigo mzito kwa taifa, hivyo bora ferry na meli za wawekezaji sekta ya binafsi ziendelee kuwa miundombinu ya kusafirisha abiria baina ya Tanganyika na Zanzibar
Mkuu lengo ni kufanya ubatiza kama ule wa Busisi Mwanza
 
Muwekezaji gani atathubutu kuwekeza kwenye daraja refu hivyo, na la gharama kwenye nchi ambayo rais ni Mungu mtu ambapo anaweza kujifanya mzalendo na kuishia kumkomoa huyo muwekezaji?
Huo ni uwekezaji wa trillion 100 na zaidi. Hakuna mwekezaji wa hivi duniani

Huyu huwa hajui Kuna namna kiongozi hutoa jibu ili kumaliza mjadala
 
Back
Top Bottom