gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Walitaka kuzima skendo ya mnyika kujiudhuru kisa ufisadi ndani ya chadema.Lini hiyo, au ni day dreams? Hilo la Busisi lenyewe lina kilomita chache ndio huko kujikongoja, itakuwa hilo la Zanzibar? Au ilikuwa story za kubembelezea mtoto anywe uji?
Mkuu muwe mnatambua pia hutuma za matibabu zilivyo kumbwa,maana hata MAREHEMU wakati mwingine huwa wanadaiwa.Utapeli upi? Sio mara ya kwanza Hilo wazo na Wachina wamejenga daraja huko kwao la zaidi ya km 60 ,tutawatumia hao hao kujenga umbali huo usiozidi km 50
Utakuwa unaota amka usingizini.Mfikirie pia kujenga daraja au Trum kati ya Tanzania-DRC Congo via Lake Tanganyika
Sidhani kama kwa sasa kuna haja kubwa ya daraja ILO kwa Sababu hatuna biashara kubwa tunafanya na Zanzibar itakuwa ni matumizi mabaya ya fedha za umma na kuingia mikopo isiyokuwa ya lazimaAkichangia mada kwenye kongamano la Uwekezaji kati ya China-Tanzania msomi wa UDSM ameshauri Serikali kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar Kwa kushirikiana na China.
Akijibu hoja hiyo Waziri wa uwekezaji prof.Kitila mkumbo amesema Serikali Imepokea Ushauri na itaufanyia kazi.
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1826635489950220573?t=qhv8EzR9Yg2lI2iijVWqOw&s=19
My Take
Mfikirie pia kujenga daraja au Trum kati ya Tanzania-DRC Congo via Lake Tanganyika
It's impossible kwa miaka hii ya karibuniNi Suala la kufanya maamuzi na Kupitisha kama mradi wa uwekezaji wa ubia na kutangaza.
Hivi Kwa hali ya Uchumi wetu tutaweza kweli hizo gharama za Ujenzi?
Labda kama tutajenga Kwa njia ya PPP then tukawa tunatumia Kwa kulipia kama ilivyo daraja la Mwalimu Nyerere - Kigamboni
Ni wazo zuri kulitekeleza kama Kuna hiyo nafasi
Sasa hapa napo Dotto Magari akiwasema "wasomi" kwa maneno yake ya shombo mtakasirika?Akichangia mada kwenye kongamano la Uwekezaji kati ya China-Tanzania msomi wa UDSM ameshauri Serikali kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar Kwa kushirikiana na China.
Akijibu hoja hiyo Waziri wa uwekezaji prof.Kitila mkumbo amesema Serikali Imepokea Ushauri na itaufanyia kazi.
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1826635489950220573?t=qhv8EzR9Yg2lI2iijVWqOw&s=19
My Take
Mfikirie pia kujenga daraja au Trum kati ya Tanzania-DRC Congo via Lake Tanganyika
Kabisa, maana Serikali lazima itakuja na sarakasi zake, kuja kutaharuki Mradi unakamilika Mwaka 2040 huko 🙌..nashauri lijengwe na SEKTA BINAFSI.
Muwekezaji gani atathubutu kuwekeza kwenye daraja refu hivyo, na la gharama kwenye nchi ambayo rais ni Mungu mtu ambapo anaweza kujifanya mzalendo na kuishia kumkomoa huyo muwekezaji?Pole sana Kwa shida ya kuwa na uelewa finyu
Kabisa, maana Serikali lazima itakuja na sarakasi zake, kuja kutaharuki Mradi unakamilika Mwaka 2040 huko 🙌
Mambo mengine ni kupotezeana muda tuu
Hakuna mwekezaji ataweka zaidi ya trillion 100 kujenga Daraja akisubiri kurudisha pesa kwa kulipisha wanaovukaKuna wakati baadhi ya wafanya biashara huingilia kuhujumu miradi ya Serikali, nafikiri kwenye huu Mradi hatua za tahadhali zichukuliwe mapema.
Mradi usije kuishia kwenye Makaratasi, maana Kuna watu wamewekeza fedha zao kwenye biashara za boat
Mkuu lengo ni kufanya ubatiza kama ule wa Busisi MwanzaChawa msomi katika ubora wake hawezi sema mradi huu utakuwa mzigo mzito kwa taifa, hivyo bora ferry na meli za wawekezaji sekta ya binafsi ziendelee kuwa miundombinu ya kusafirisha abiria baina ya Tanganyika na Zanzibar
Huo ni uwekezaji wa trillion 100 na zaidi. Hakuna mwekezaji wa hivi dunianiMuwekezaji gani atathubutu kuwekeza kwenye daraja refu hivyo, na la gharama kwenye nchi ambayo rais ni Mungu mtu ambapo anaweza kujifanya mzalendo na kuishia kumkomoa huyo muwekezaji?
Kwa gharama ya ujenzi wa Daraja hilo hata miaka 50 bado huwezi kurudisha pesaLijengwe kwa utaratibu wa PPP, mwekezaji akamue fedha yake taratibu kwa miaka 50