OkayMkuu kujengwa daraja la hivyo kwa nchi ya ulimwengu wa tatu ni ndoto. Sababu kubwa ni gharama na pia jiographia ya hayo maeneo mawili kuweka Daraja ni ngumu mno sababu ya mkondo wa bahari uliopo
WEWE KILAZA ACHA UCHURA KIZIWI. HILO DARAJA SIYO MAKALIO KUSEMA .... HATA YEYE ANAYO. AU SIYO MATITI KUSEMA WANAWAKE WANAZIDIANA TU UKUBWA KAMA HIVYO. MNAFANYA CCM WOTE TUONEKANE KAMA VYURA TUNAPIGA KELELE TU.Wewe nyumbu,China imejenga sana miradi kama hii.
Huu mradi utakuwa wa PPP na wawekezaji wamekuwa wakitoa hili pendekwzo siku nyingi sana.
Maelfu ya Watalii watashika Dar au Zanzibar then wata cross Kwa Barabara via hii so itakuwa poa sana
Mtakula mawe na michanga shauri zenu 🏃🏃🏃Tena itapendeza lipite chini ya maji
Sidhani kama hili linawexa kuwa kipaumbele cha taifa hili kwa sasa, na kama ipo hivyo basi tumekwisha. Nikiangalia network ya Barabara hata kwa Dar es salaam tu ni mbovu kupitiliza, nadhani ujenzi wa hizi barabara ungeleta faida nyingi za kiuchumi kuliko kujenga hilo daraja.Ushaambiwa PPP kama hujui maana yake ungeuliza na sio kujiaibisha tu, Sasa mtu binafsi akijenga Daraja lake Deni linatoka wapi? Wewe leo ukijenga Ghorofa ama ukanunua Gari Serikali inaangamia kwa madeni?
Ili iweje? Si airport kubwa sana imejengwa kule, wameshachukua ndege zetu 3, pesa zote zinaenda kizimkazi...Maelfu ya Watalii watashika Dar
Litajengwa Kwa njia ya PPP yaani linajengwa na private sector so litakuwa la kulipia
Mbona Uk to Germany wamewezaMtakula mawe na michanga shauri zenu 🏃🏃🏃
Kwani nyie Uk au German?Mbona Uk to Germany wameweza
Ni kweli lakini, nifute kauli tuHilo Daraja la Tanganyika to Zanziba linaweza kufikia Billioni 10 US Dollars hebu fikiria hizo fedha zikiingizwa kwenye vipaumbele muhimu?
Boss ni private, mbona mnakua wagumu kuelewa hivi? Huyo mwekezaji yeye ndio anajua itamlipa kiuchumi hata haitamlipa, sisi haituhusu, akipata hasara ni yeye na sio serikali. After Miaka kadhaa ndio daraja linakua la serikali.Sidhani kama hili linawexa kuwa kipaumbele cha taifa hili kwa sasa, na kama ipo hivyo basi tumekwisha. Nikiangalia network ya Barabara hata kwa Dar es salaam tu ni mbovu kupitiliza, nadhani ujenzi wa hizi barabara ungeleta faida nyingi za kiuchumi kuliko kujenga hilo daraja.
We kilaza kweli, Tunaishi Dunia ambayo Makampuni kwa mwezi yanaingiza hela Nyingi kuliko Nchi nyingi Duniani bado unaamini hakuna Kampuni inayoweza kujenga Daraja?Hakuna mtu binafsi au kampuni binafsi au kampuni inayomilikiwa na Dola Ngeni (serikali) inaweza kujenga daraja kubwa bila nchi kupigwa mnada, maana lazima serikali ya Tanganyika isaini mikataba ya ajabu kama ya DP World ili mwekezaji aje afanye mradi katika nchi dizaini ya Tanzania.
PPPs are used to conceal public borrowing, while providing
long-term state guarantees for profits to private companies.
Private sector corporations must maximise profits if they
are to survive. This is fundamentally incompatible with
protecting the environment and ensuring universal access to
quality public services.....
READ more :
Public Services International
https://www.world-psi.org › f...PDF
Why public-private partnerships don't work
... countries both rich and poor. It demystifies the shadowy PPP processes....
Huo ndio ukweliOkay
Kwahiyo huenda ni Mradi utakaoishia kwenye Makaratasi tu 🙌
We kilaza kweli, Tunaishi Dunia ambayo Makampuni kwa mwezi yanaingiza hela Nyingi kuliko Nchi nyingi Duniani bado unaamini hakuna Kampuni inayoweza kujenga Daraja?
Kampuni kubwa kubwa za China zote thamani zake ni Maelfu ya Trilioni, faida zake ni mkuumi ama mamia ya Trilioni,. Kampuni moja faida yake ni kubwa kushinda Hela wanazokusanya Tra mwaka Mzima.
Daraja kubwa la Danyang Kushang huko China lina kilomita zaidi ya 160, Dar Moro hio sembuse dar Zanzibar ambayo ni kama km 40 tu.
Cost Yake ni kama dola milioni 51 kwa kilomita ina maana hizo km 40 roughly ni kama usd 2B hapo ni kwa upana wa mita 80, naamini sisi hatuna luxury hio na bei haitafika hivyo, ila let's assume ndo hio 2B usd, je ni hela ya kufanya serikali ipigwe mnada?
For comparison ili uelewe zaidi kuna Club ya Saudia ilimpa offer Vinicius Junior ya 1B usd Mshahara, so hao ni Vinicius wawili tu. Hio ni hela ya kawaida mno kwa makampuni mengi binafsi.