Prof Kitila: Serikali Imepokea Ushauri wa Kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar

Prof Kitila: Serikali Imepokea Ushauri wa Kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar

Wewe nyumbu,China imejenga sana miradi kama hii.

Huu mradi utakuwa wa PPP na wawekezaji wamekuwa wakitoa hili pendekwzo siku nyingi sana.

Maelfu ya Watalii watashika Dar au Zanzibar then wata cross Kwa Barabara via hii so itakuwa poa sana
WEWE KILAZA ACHA UCHURA KIZIWI. HILO DARAJA SIYO MAKALIO KUSEMA .... HATA YEYE ANAYO. AU SIYO MATITI KUSEMA WANAWAKE WANAZIDIANA TU UKUBWA KAMA HIVYO. MNAFANYA CCM WOTE TUONEKANE KAMA VYURA TUNAPIGA KELELE TU.
 
Wamalize kwanza kupeleka umeme vijijini, wajenge zahanati- Wahamasishe hao wachina watuletee viwanda ili vijana walio wengi wapate ajira za kudumu.
Afrika kupata maendeleo ni ngumu sababu ya kurukaruka kama maharage.Hao wachina, watu wa Ulaya walifika hapo hatua kwa hatua - elimu, chakula cha kutosha, industrial revolution...watu wanakuwa empowered then automatically maendeleo yanakuja, serikali inakuwa na uwezo wa kukusanya kodi ya kutosha n.k.
 
Ushaambiwa PPP kama hujui maana yake ungeuliza na sio kujiaibisha tu, Sasa mtu binafsi akijenga Daraja lake Deni linatoka wapi? Wewe leo ukijenga Ghorofa ama ukanunua Gari Serikali inaangamia kwa madeni?
Sidhani kama hili linawexa kuwa kipaumbele cha taifa hili kwa sasa, na kama ipo hivyo basi tumekwisha. Nikiangalia network ya Barabara hata kwa Dar es salaam tu ni mbovu kupitiliza, nadhani ujenzi wa hizi barabara ungeleta faida nyingi za kiuchumi kuliko kujenga hilo daraja.
 
Maelfu ya Watalii watashika Dar
Ili iweje? Si airport kubwa sana imejengwa kule, wameshachukua ndege zetu 3, pesa zote zinaenda kizimkazi...

Hao watalii washukie Dar kufanya nini sasa? Dar hatuna sites za utalii.

Hatutaki muunganiko na Dubai, itakuwa daraja? La nini?
- Nani atagharamia umesema?

Madarasa, vyoo, barabara, vifaa tiba, NHIF, pensheni, uzalishaji n.k VYOTE vimekushinda, unataka kurahisisha usafiri kwa mabazazi?
 
Litajengwa Kwa njia ya PPP yaani linajengwa na private sector so litakuwa la kulipia

Zanzibar hakuna biashara ya kulipa uwekezaji huo so hamna private sector inayoweza kubeba risk ya kuwapa Kiki wanasiasa. Nani ataweka pesa yote hiyo bila kuwa na uhakika wa ROI na hatimaye faida? Hii scam tu kama kawaida ya wanasiasa wa kibongo
 
Hilo Daraja la Tanganyika to Zanziba linaweza kufikia Billioni 10 US Dollars hebu fikiria hizo fedha zikiingizwa kwenye vipaumbele muhimu?
Ni kweli lakini, nifute kauli tu
Hakuna biashara yoyote kubwa hivyo bali meli zinatosha sana kuketa bidhaa
Daraja ni gharama kubwa sana na nafikiri wanawaza upigaji zaidi kiliko maendeleo
 
Sidhani kama hili linawexa kuwa kipaumbele cha taifa hili kwa sasa, na kama ipo hivyo basi tumekwisha. Nikiangalia network ya Barabara hata kwa Dar es salaam tu ni mbovu kupitiliza, nadhani ujenzi wa hizi barabara ungeleta faida nyingi za kiuchumi kuliko kujenga hilo daraja.
Boss ni private, mbona mnakua wagumu kuelewa hivi? Huyo mwekezaji yeye ndio anajua itamlipa kiuchumi hata haitamlipa, sisi haituhusu, akipata hasara ni yeye na sio serikali. After Miaka kadhaa ndio daraja linakua la serikali.
 
Hakuna mtu binafsi au kampuni binafsi au kampuni inayomilikiwa na Dola Ngeni (serikali) inaweza kujenga daraja kubwa bila nchi kupigwa mnada, maana lazima serikali ya Tanganyika isaini mikataba ya ajabu kama ya DP World ili mwekezaji aje afanye mradi katika nchi dizaini ya Tanzania.

PPPs are used to conceal public borrowing, while providing
long-term state guarantees for profits to private companies.
Private sector corporations must maximise profits if they
are to survive. This is fundamentally incompatible with
protecting the environment and ensuring universal access to
quality public services.....

READ more :
Public Services International
https://www.world-psi.org › f...PDF
Why public-private partnerships don't work

... countries both rich and poor. It demystifies the shadowy PPP processes....
We kilaza kweli, Tunaishi Dunia ambayo Makampuni kwa mwezi yanaingiza hela Nyingi kuliko Nchi nyingi Duniani bado unaamini hakuna Kampuni inayoweza kujenga Daraja?

Kampuni kubwa kubwa za China zote thamani zake ni Maelfu ya Trilioni, faida zake ni mkuumi ama mamia ya Trilioni,. Kampuni moja faida yake ni kubwa kushinda Hela wanazokusanya Tra mwaka Mzima.

Daraja kubwa la Danyang Kushang huko China lina kilomita zaidi ya 160, Dar Moro hio sembuse dar Zanzibar ambayo ni kama km 40 tu.

Cost Yake ni kama dola milioni 51 kwa kilomita ina maana hizo km 40 roughly ni kama usd 2B hapo ni kwa upana wa mita 80, naamini sisi hatuna luxury hio na bei haitafika hivyo, ila let's assume ndo hio 2B usd, je ni hela ya kufanya serikali ipigwe mnada?

For comparison ili uelewe zaidi kuna Club ya Saudia ilimpa offer Vinicius Junior ya 1B usd Mshahara, so hao ni Vinicius wawili tu. Hio ni hela ya kawaida mno kwa makampuni mengi binafsi.
 
Hakuna biashara Zanzibar ya kuvutia uwekezaji wa level hiyo baba mwajuma! Mifano uliyotoa yote ilifanyiwa hesabu na mwekezaji aliona italipa, ukiona mswahili anapiga debe sehemu basi kuna chakula kwa mlango wa nyuma. Kwa rushwa inayoambatana na miradi ya namna hii si ajabu mkapiga debe na ikafanyika kwa Africa ni kawaida kabisa mradi usio na value ya kiuchumi ukafanyika tu watu wale then watajijua watakaofuata
 
Tujenge kwanza vyoo kila kaya halafu ndio tufikirie hilo daraja.
 
Waanze kujenga la kuunganisha Pemba na Unguja. Wao wanahitajiana sana. Hakuna movement kubwa ya muingiliano kati ya bara na Unguja kuweza kulipa hizo gharama.
 
Mtu kama Kitila ni watu wa kuwaogopa sana. Huwa hawamanishi kile wanachokisema. Hawa wanaenda na upepo wa nani ameketi kiti cha juu.

Kwa sasa anasema amepokea wazo la ujenzi wa hilo daraja. Ni sawa. Ila huyu huyu Kitila aliyeketi pale juu akiondoka au akipatwa na janga kama mwendazake (mungu aepushe mbali) utashangaa watakavyo mgeuka na kumwona alikuwa hafai na mwenye mambo ya hovyo. Tuomeona wale waliokuwa karibu na mwendazake walivyomgeuka hata kabla 40 haijafika.

Tukae kwa tahadhari na watu kama hawa
 
Back
Top Bottom