johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Enzi za shujaa πHiyo michangonsi ndio mashirika mengine yaliwahinkwenda kukopa ili watekeleze amri.
Wazir wa uchumi mwenye PhD ya masturbation. This is Africa, were A is Z and Z is A.Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema kuna mashirika 304 nchi nzima lakini yaliyotoa gawio ni 145 tu na 159 hayajatoa.
Kitila amesema jumla ya Gawio ni tsh 637 billion ambapo tsh 8.8 billion ni Gawio kutoka kwenye Faida( Dividend) na tsh 358 billion ni Michango na ifikapo June 30 Gawio litaongezeka kutoka tsh 637 billion hadi 850 billion
Source: Clouds media
Kwako CPA Okwi Boban Sunzu ukiwa Ufipa stππ₯
Duuuh!Wazir wa uchumi mwenye PhD ya masturbation. This is Africa, were A is Z and Z is A.
Ni utaratibu mbovu uliohasisiwa na Rais aliyepita.Maskini pole zao kwa kukopa na kumpa bi chura
Wapi aliposema Wamekopa?Maskini pole zao kwa kukopa na kumpa bi chura
Unaweza kuonyesha waliposema Wamekopa?Ni utaratibu mbovu uliohasisiwa na Rais aliyepita.
Wapi aliposema Wamekopa?
Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema kuna mashirika 304 nchi nzima lakini yaliyotoa gawio ni 145 tu na 159 hayajatoa.
Kitila amesema jumla ya Gawio ni tsh 637 billion ambapo tsh 8.8 billion ni Gawio kutoka kwenye Faida( Dividend) na tsh 358 billion ni Michango na ifikapo June 30 Gawio litaongezeka kutoka tsh 637 billion hadi 850 billion
Source: Clouds media
Kwako CPA Okwi Boban Sunzu ukiwa Ufipa stππ₯
Walilazimishwa wakakope? Au hawajui Gawio ni nini? πWamelalamika chini chini
Kwanini Bwashee? ππKitila ananikumbusha zile enzi za kina Mzindakaya na Mdhihiri wa Mdhihiri ...... tofauti yake na wao, yeye ni Propesa.
Kwanini Bwashee? ππ
Mudhihir alimgusa pabaya Nyepesi Wakati wa Buzwagi jamaa akajibu mapigoNdiyo walikuwa Wapambe wa CCM Bungeni. Kwenye hoja wao ndiyo wanakuwa wa kwanza kuchangia ....!! Hiyo Mikoba naona karithishwa Propesa Kitila.
Africa tuna makarani wa Uchumi tu hata Lipumba ni Wakala tu kama wa M-PesaTumekosa Mchumi Bungeni kuwa Waziri wa Mipango tunampa Profesa Mwalimu wa Ualimu. Angalia mawaziri wa Mipango wakati wa Mkapa kina Kigoda na yule mzee mwenye mvi nyingi wa Kilosa.
Mudhihir alimgusa pabaya Nyepesi Wakati wa Buzwagi jamaa akajibu mapigo