Prof Kitila: Tuna Mashirika 304 lakini yaliyotoa Gawio ni 145. Jumla ya Gawio ni tsh 637 billion ambapo tsh8.8 bil ni Dividend na 358 bil ni Michango!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema kuna mashirika 304 nchi nzima lakini yaliyotoa gawio ni 145 tu na 159 hayajatoa.

Kitila amesema jumla ya Gawio ni tsh 637 billion ambapo tsh 8.8 billion ni Gawio kutoka kwenye Faida( Dividend) na tsh 358 billion ni Michango na ifikapo June 30 Gawio litaongezeka kutoka tsh 637 billion hadi 850 billion

Source: Clouds media

Kwako CPA Okwi Boban Sunzu ukiwa Ufipa st😄🔥
 
Hiyo michangonsi ndio mashirika mengine yaliwahinkwenda kukopa ili watekeleze amri.
 
Maskini pole zao kwa kukopa na kumpa bi chura
 
Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema kuna mashirika 304 nchi nzima lakini yaliyotoa gawio ni 145 tu na 159 hayajatoa.

Kitila amesema jumla ya Gawio ni tsh 637 billion ambapo tsh 8.8 billion ni Gawio kutoka kwenye Faida( Dividend) na tsh 358 billion ni Michango na ifikapo June 30 Gawio litaongezeka kutoka tsh 637 billion hadi 850 billion

Source: Clouds media

Kwako CPA Okwi Boban Sunzu ukiwa Ufipa st😄🔥
Wazir wa uchumi mwenye PhD ya masturbation. This is Africa, were A is Z and Z is A.
 
Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema kuna mashirika 304 nchi nzima lakini yaliyotoa gawio ni 145 tu na 159 hayajatoa.

Kitila amesema jumla ya Gawio ni tsh 637 billion ambapo tsh 8.8 billion ni Gawio kutoka kwenye Faida( Dividend) na tsh 358 billion ni Michango na ifikapo June 30 Gawio litaongezeka kutoka tsh 637 billion hadi 850 billion

Source: Clouds media

Kwako CPA Okwi Boban Sunzu ukiwa Ufipa st😄🔥

Kitila ananikumbusha zile enzi za kina Mzindakaya na Mdhihiri wa Mdhihiri ...... tofauti yake na wao, yeye ni Propesa.
 
Ndiyo walikuwa Wapambe wa CCM Bungeni. Kwenye hoja wao ndiyo wanakuwa wa kwanza kuchangia ....!! Hiyo Mikoba naona karithishwa Propesa Kitila.
Mudhihir alimgusa pabaya Nyepesi Wakati wa Buzwagi jamaa akajibu mapigo
 
Tumekosa Mchumi Bungeni kuwa Waziri wa Mipango tunampa Profesa Mwalimu wa Ualimu. Angalia mawaziri wa Mipango wakati wa Mkapa kina Kigoda na yule mzee mwenye mvi nyingi wa Kilosa.
 
Africa tuna makarani wa Uchumi tu hata Lipumba ni Wakala tu kama wa M-Pesa
 
Msaada kwenye tuta.
Ni ipi tofauti ya michango na gawio? Kama ameshindwa kutoa gawio, hiyo michango anatoa wapi?

Pia, mashirika yasiyoweza kuzalisha na kutegemea hela zetu, kwanini tunaendelea kuwa nayo?

Kama nchi, mnaridhika na TPA kutoa 153b kama gawio?
 
Back
Top Bottom