The Shah of Tanganyika
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 602
- 1,572
Hapo kuna kitu kinatafutwa ili jeshi lichukue nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio KAZI ya jeshi??Impliedly
View attachment 2696670
Wanatuzuga! Kitila Mkumbo aache kuhusisha jeshi kwenye upumbavu waoJeshi gani hili tawi la CCM au ?🤡
😄😄😄Anawakumbusha
Na wewe unaamini kuna jeshi Tanzagiza ?Wanatuzuga! Kitila Mkumbo aache kuhusisha jeshi kwenye upumbavu wao
Unakumbuka Kwanini alihama Chadema?😂😂😂Hii sasa ni mihemko iliopitiliza !!! Au labda ndio matamanio yake !!!
Huyu atakuwa anaongea Kwa mafumbo, Ili ujumbe ufike.Hii sasa ni mihemko iliopitiliza !!! Au labda ndio matamanio yake !!!
Mmechoka mpaka mnaota ndoto ndotoni. Hilo ni jeshi la kwenu, kweli mmechoka mnashika visivyoshikikaImpliedly
View attachment 2696670
Impliedly
View attachment 2696670
Atakuwa kwanza kunyongwa au kupigwa risasi.....muda mwalim mzuriImpliedly
View attachment 2696670
Eti, madadiliko yamefanyika teyari, ukijikuna popote Mzenji yupo nyuma yako hata huko huko. Mmekwisha.Jeshi lipi hilo???
Ova
Asitukumbushe Vita ya Kinondoni Mkwajuni Tamim vs Nyaucho 😄!Duh
Ova
Kwa hiyo Mzazibari hastahili kuwa Raisi wa Muungano?Uvivu wa Maprofesa wetu wa sheria umesababisha haya.
Kwani katiba ilioruhusu Zanzibar kuwa na serikali yake kamili, huku Tanganyika ikiwa haina serikali nyingine yake yenyewe, kwanini katiba hio sasa ikaruhusu Mzanzibari kurithi Urais wa serikali hii badala ya siku zote kuishia umakamu wa Rais kwa ajili tu ya kulinda maslaha ya Zanzibar ndani ya Muungano?
Ikitokea kama kifo cha Rais wa Tanzania basi kipengele kingesema aliekuwa Waziri Mkuu au Jaji Mkuu, Speaker wa Bunge ashike Urais hadi Uchaguzi mkuu ujao. Mzenji akibaki nafasi yake kivulini ya umakamu ili alinde maslaha ya nchi yao Zenji.
Uvivu huu sasa ndio unaumiza forever, haya mambo yatapelekea vita na nchi za kiarabu. Na tutavwamiwa kinguvvu. Nipo paleee nanywa kahawa mie.
Akiingie ikulu ya Tanganyika (TZ) ACT anaejifanya CCM kwa sababu ya cheo tu kama walivyo 99% ya Wazanzibar?Kwa hiyo Mzazibari hastahili kuwa Raisi wa Muungano?
Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app