Prof Kitila unataka Jeshi lipindue nchi ndio tujue kuwa Mkataba wa Dp world ni mbovu?

Prof Kitila unataka Jeshi lipindue nchi ndio tujue kuwa Mkataba wa Dp world ni mbovu?

NCHI IPI, JESHI LIPI, KWA SHIDA IPI? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4][emoji1787][emoji4][emoji1787][emoji4][emoji4][emoji1787][emoji4][emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

UMRI WAKO NDO TATIZO.
 
Uandhani kupindua nchi ni rahisi kama mnavyopinduliwa kimaumbile na wafadhili wenu?
 
Huyu jamaa alikuwaga smart sana. Tatizo njaa imemuingiza kwenye kundi la Mbuzi
 
Iwapo kuna watu wana akili katika nafasi nyeti za maamuzi,kuna kitu watajifunza katika hii mijadala na wachukue hatua chanya,vinginevyo naona kama inteligensia kwa sasa haipo kabisa nchini.

Taifa linagawanyika vipande vipande,adui akiona fursa,anaweza kuwagawa wananchi kwa urahisi.Anaweza kuleta usumbufu utakaoliangamiza taifa.
Hekma na busara vinahitajika sana kwa sasa kwa wenye mamlaka.
 
Kusema ukweli mimi nalishangaa sana "geshi" letu.
Maupumbavu mengi tuu yanatokea nchini lenyewe limekaa kama hayawahusu!

Natamani sana lifanye kitu kuinyosha nchi "kama rula".
 
Back
Top Bottom