Prof. Kitila: Wastani wa kuishi uwe Miaka 75 yenye afya na furaha

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Waziri Kitila Mkumbo amesema kuwa ifikapo 2050, Mtanzania atakuwa anaishi wastani wa miaka 75 kwa afya na furaha, ikilinganishwa na miaka 68 ya sasa. Aidha, amesema watoto wa kike na wa kiume wanapata malezi sawa, huku angalau asilimia 90 wakiwa katika hatua sahihi za ukuaji, ikiwa ni juhudi za kutokomeza udumavu.

View attachment 3408801
Kwa huu wizi wa kura,mauaji yanayoendelea,ufisadi na dhulma.za kuiba rasilimali za nchi,......hili haliwezekani
 
Back
Top Bottom