Mzee Thomas Filipi Silayo (75), mkazi wa Kijiji cha Mbomai Juu, Tarakea wilayani Rombo, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mapanga wakati wa kikao cha kifamilia kilichokuwa kikijadili mgogoro wa ardhi kati yake na ndugu zake.
Tukio hilo lilitokea Mei 8, 2026 katika Kijiji cha Wama, Kata...
Waziri Kitila Mkumbo amesema kuwa ifikapo 2050, Mtanzania atakuwa anaishi wastani wa miaka 75 kwa afya na furaha, ikilinganishwa na miaka 68 ya sasa. Aidha, amesema watoto wa kike na wa kiume wanapata malezi sawa, huku angalau asilimia 90 wakiwa katika hatua sahihi za ukuaji, ikiwa ni juhudi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.