Prof Lipumba acha kuongea uongo, hakuna mtanzania anayetaka kumkwamisha Rais Samia. Anajua kila kitu kuhusu DP world alishawakaribisha Ikulu 2021

Prof Lipumba acha kuongea uongo, hakuna mtanzania anayetaka kumkwamisha Rais Samia. Anajua kila kitu kuhusu DP world alishawakaribisha Ikulu 2021

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Lipumba acha kufumba macho.

Hili dili Rais anajua kila kitu. Umesahau alishamkaribisha mmiliki wa DP world Ikulu.
Screenshot_20230611-095027.jpg

Prof Lipumba anaingiaje hapo? Hebu tulia, paki gari pembeni, kisha andika vitu vinavyoeleweka, mkuu. Unawahi wapi?
 
Wanavyodai tuko katika hatua ya kuandaa makunaliano,lakini 5.1 inatosha kusema kuwa tayari tuna mkataba na Dp world na kama tutafanya namna yoyote ya kusitisha makunaliano hayo basi mahakamani tutakwenda na tutashindwa
 
Back
Top Bottom