Prof Lipumba acha kuongea uongo, hakuna mtanzania anayetaka kumkwamisha Rais Samia. Anajua kila kitu kuhusu DP world alishawakaribisha Ikulu 2021

Prof Lipumba anaingiaje hapo? Hebu tulia, paki gari pembeni, kisha andika vitu vinavyoeleweka, mkuu. Unawahi wapi?
 
Wanavyodai tuko katika hatua ya kuandaa makunaliano,lakini 5.1 inatosha kusema kuwa tayari tuna mkataba na Dp world na kama tutafanya namna yoyote ya kusitisha makunaliano hayo basi mahakamani tutakwenda na tutashindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…