Prof Lipumba adai rasimu ya katiba mpya inaiminya Zanzibar

....tanganyika lazima iwe na tahadhari.. watanganyika wanaotumiwa na "wageni" kufaidi raslimali za tanganyika ni wengi na wa kada mbalimbali.."wasomi na viongozi wa kidini" ni miongoni mwa wanaotumiwa....!..nina shaka kama tafsiri ya ufisadi na mafisadi inaeleweka vizuri miongoni mwetu..!...."yeye huyo" anajua vizuri zaidi wanasiasa "wabunge, na wajumbe wa blw" wa chama chake wanachokitaka, na hususan katibu wake kuhusu muungano...kinyume cha ukweli(regardless) ni dhambi kwa mwenye kuamini...unazungumzia maslahi na haki za kimuungano kwa watu wa ambao hawauamini, hawauthamini na hawautaki muungano...! "na kwa nini msomi wa kiwango cha hivyo asiwe wa kusimama na kweli iliyopo"...ah...ni siasa by the way..!
Hana tofauti na Shivji, huyo mdosi kumbe katokea Unguja!!!!!!!
 
Ngongo,

na wewe unahitajika kutambuwa historia, ikiwa hujui bora uulize.....

TANZANIA.........TAN = TANGANYIKA..........ZAN = ZANZIBAR ,,,,,,NIA = JUST KIBWAGIO.

1964 zilipoungana tanganyika na zanzibar zilikuwa nchi pili huru ..........nchi ni nchi bila kuangalia idadi ya raia wake

ikiwa haki ipo duniani bado basi lazima iwe ni 50/50 affairs.....ikiwa haiwezekani basi ccm wasilazimishe muungano

kwahivo prof Lipumba yuko right na anazungumza kisomi sio kilevi kama akina Pinda
 
Jacobus

Hana tofauti na Shivji, huyo mdosi kumbe katokea Unguja!!!!!!!

mbona munalazimisha muungano wa nguvu, nani anayetaka kuungana na majambazi, si munaona hivi munavoiibia zanizbar utaifa wake. wengine kati yenu munajifanya wababe sana mukiwa katika bunge lenu, ingekuwa si wasaliti wa taifa la zanzibar wanaowekwa madarani na ccm katika smz, leo kusingekuwa na muungano hu wa kihuni
 
PakaJimmy

Ikiwa hujalewa basi inaonekana hukusoma

ikiwa hamuwei kuweka usawa baina ya tanganyika na zanzibar katika kila kinachoweza kugawika, ni bora muuvunje muungano, znaibzar haina shida yoyoyte na tanganyika, u are wasting our time, energy and progress.

na nyinyi watanganyika munaingiza udini kila sehemu, na ndio maana mukawa masikini na wengi wenu mutakufa masikini.

sasa kuna tofauti gani Lipumba akisema anayotaka akiwa msikitini au akiwa kanisani?

yareti siku moja huu muungano uvunjike na buguza zenu ziishe,

kwa lugha nyengine, ni 35/35, ikiwa si hivo munataka mukitaka kupitisha upuuzi wenu bungeni dhidi ya znz nyinyi muwe na kura nyingi...wat a non sense.

kwanza nani alokuambieni muungane na zanzibar? Nani alokwambieni muendeleze muunganio baada ya kifo cha nyerere?

Kwahivo musilalamike, tulieni mugangwe sasa, na si hivo tu, nyinyi si mumegunduwa magesi mengi tu huko tanganyika, very funny thing ni kwamba hakuna kampuni yoyoyte ya kitanganyika iliopo popote pale duniani inayoweza kuchimbuwa gesi hiyo, lakini kampuni za kizanizbari zipio na tutaichukuwa gesi yenu kistyle kabisa, nyinyi gombeeni viti vya muungano tu.
 
Mkuu SMU vipi suala la kugawana gharama za muungano kwa usawa wamshawahi kulizungumzia hilo !.
Likifika hilo watataka kuangalia population ratio.
Mazenji na vibaraka vyao ka kina Lipumba-vu ma-shiti sana.
 
Sipati picha huyu Prof Lipumba...v angeshinda 2000 tungekuwa wapi?.
Huyu jamaa ameshachuja sana, amebaki kama skeleton tuuuu
Lipumba ni kama ashajua political fate yake,
Kilichobaki ni kuharibu tu, ka mbwai mbwai tu... he must be working in that line
 
Ngongo,

na wewe unahitajika kutambuwa historia, ikiwa hujui bora uulize.....

TANZANIA.........TAN = TANGANYIKA..........ZAN = ZANZIBAR ,,,,,,NIA = JUST KIBWAGIO.

1964 zilipoungana tanganyika na zanzibar zilikuwa nchi pili huru ..........nchi ni nchi bila kuangalia idadi ya raia wake

ikiwa haki ipo duniani bado basi lazima iwe ni 50/50 affairs ..... ikiwa haiwezekani basi ccm wasilazimishe muungano

kwahivo prof Lipumba yuko right na anazungumza kisomi sio kilevi kama akina Pinda

Nakubaliana na wewe on one condition, hiyo haki yako on 50/50 affairs, izingatie kikamilifu wajibu wa kuchangia gharama za kuendesha muungano huo, kudai haki bila wajibu ni sawa na unyang'anyi.:A S wink:
 
ATUGLORY

Umenena haya

Una kura yangu 100%,

Kwasababu wazanizbar tunakata 50/50 affairs basi lazima na sisi tuchangie sawa katika masuala ya muungano.

Lakini hayo mambo ya muungano ni lazima watizamwe upya na isiingize

1. financial affairs, ambayo ni pamoja na internal revenue, local currency, banking system,

2. minerals resources

3. Internal security and border security, kila nchi iwe jesi polisi lake na mikapa yake inayotambulikana kimataifa, yaani masuala ya uhamiaji yawe separate affairs

4. Elimu ya juu iwe separated from muungano.

5. Vyama vya siasa viwe seperated from Muungano, yaani chama cha siasa kiweze kuwa cha zanzibar tu au tanganyika tu, yaani uwe muungano wa serikali sio wa vyama.

Tunaweza kuwa na foreigh mission moja

Wizara zote za Muungano zigaiwe makao makuu yake sawa sawa, nusu zanzibar na nusu tanganyika, na wizara yenye makao makuu tanganyika iwe na wizara ndogo zanizbar na vice vasa

mawaziri wa muungano wawe sawa sawa nusu znz nusu tanganyika

Raisi wa muungano awe muda anatoka tanganyika muda anatoka znz na manaibu raisi wa muungano iwe hivo hivo

mabalozi wa muungano nchi za nje wawe nusu kutoka znz nusu kutoka tanganyika

na misaada ya kigeni ya znz iende moja kwa moja znz na misaada ya tanganyika iende moja kwa moja tanganyika

Tikifanya hivo tutaheshimiana.
 
Haya yote yanawezekana sana Mkuu, labda niongezee machache kwamba ili itendeke haki kamilifu baina ya washirika itakuwa vema iwapo funds za kulipa waajiriwa(Mishahara, posho na marupurupu) wa serikali ya Muungano akiwemo rais, wasaidizi wake pamoja na rank and file staff wote, zitolewe moja kwa moja kutoka kwa nchi washirika wanakotokea hao waajiriwa, hii itapunguza malalamiko toka nchi washirika kuhusu uwakilishi wao katika ajira za muungano, na vile vile waajiriwa katika serikali ya muungano(ukiachilia mbali wale wanaohusika na masuala mtambuka baina ya nchi washirika) wafanye katika vitengo vya muungano vilivyo katika nchi zao. yaani kama polisi ni suala la muungano basi mtanganyika asiende kuwa RPC au askari wa cheo chochote huko Zanzibar na vice versa hali kadharika. hii itaondoa kero za muungano kwamba watanganyika wanachukua ajira za wazanzibar na vice versa kwa watanganyika, kuhusu ubalozi wa nje nadhani bado ni vema kila nchi mshirika iwe na balozi wake maalum wa kushughulikia masuala yasiyo ya kimuungano katika nchi za nje. lakini wakati huo huo ni vema tukaendelea kujiuliza kwa umakini kwamba ni kwa nini tusifanye maamuzi magumu kuweka muungano huu pembeni, halafu Tanganyika na Zanzibar tukutane EA community kama tunavyofanya kwa Kenya na Uganda? hii ni kutokana na kuongezeka sana kwa mambo tunayopingana baina yetu kuliko tunayokubaliana. hii pointi ya kuoleana sidhani ina mashiko sana ukizingatia kuwa watanganyika vilevile wameoleana sana na Wakenya na waganda lakini hatuna muungano nao.
 
mwenye akili ni padri slaa pekee walobakia woote hatuna akili ndio maana padri slaa amekusanya vimada na hawara kila kona kuanzia viti maalum chadema ana watatu na kila mkoa tanganyika hakosi kimada.
 
Kanisa linang'ang'ania muungano kuna siri gani hapo, msikiti unasema serikali tatu Kama hakuna bora tugawane mbao haki bin haki
 
Haya ni mawazo ya watu wanaoswali katika misikiti yenye gym za karate kama si vituo vya alqaida..... kwenye mambo yamsingi haraka hukimbilia kujiyambulisha kwa vilema vyao iwe dini, umasikini,utajiri, ukabila nk...kuwa makini utaleta vita hata huo msikiti utausikia kwenye bomba....!
 
Haya yote yanawezekana sana Mkuu, labda niongezee machache kwamba ili itendeke haki kamilifu baina ya washirika itakuwa vema iwapo funds za kulipa waajiriwa(Mishahara, posho na marupurupu) wa serikali ya Muungano akiwemo rais, wasaidizi wake pamoja na rank and file staff wote, zitolewe moja kwa moja kutoka kwa nchi washirika wanakotokea hao waajiriwa, hii itapunguza malalamiko toka nchi washirika kuhusu uwakilishi wao katika ajira za muungano, na vile vile waajiriwa katika serikali ya muungano(ukiachilia mbali wale wanaohusika na masuala mtambuka baina ya nchi washirika) wafanye katika vitengo vya muungano vilivyo katika nchi zao. yaani kama polisi ni suala la muungano basi mtanganyika asiende kuwa RPC au askari wa cheo chochote huko Zanzibar na vice versa hali kadharika. hii itaondoa kero za muungano kwamba watanganyika wanachukua ajira za wazanzibar na vice versa kwa watanganyika, kuhusu ubalozi wa nje nadhani bado ni vema kila nchi mshirika iwe na balozi wake maalum wa kushughulikia masuala yasiyo ya kimuungano katika nchi za nje. lakini wakati huo huo ni vema tukaendelea kujiuliza kwa umakini kwamba ni kwa nini tusifanye maamuzi magumu kuweka muungano huu pembeni, halafu Tanganyika na Zanzibar tukutane EA community kama tunavyofanya kwa Kenya na Uganda? hii ni kutokana na kuongezeka sana kwa mambo tunayopingana baina yetu kuliko tunayokubaliana. hii pointi ya kuoleana sidhani ina mashiko sana ukizingatia kuwa watanganyika vilevile wameoleana sana na Wakenya na waganda lakini hatuna muungano nao.
Nakuungana mkono kwa jambo moja kuu kuipa Zanzibar uhuru wake.... na Tangayika yetu ije.......lakini kwa mfumo huu wa ccm na tume ya katiba utatujengea chuki...Ombi langu ama tamanio langu ni Tanzania kupinduliwa na kugawanywa bila ya kumwaga damu.....ili kuepusha sanaa hii ya tume ya kattiba
 
Jacobus

mbona munalazimisha muungano wa nguvu, nani anayetaka kuungana na majambazi, si munaona hivi munavoiibia zanizbar utaifa wake. wengine kati yenu munajifanya wababe sana mukiwa katika bunge lenu, ingekuwa si wasaliti wa taifa la zanzibar wanaowekwa madarani na ccm katika smz, leo kusingekuwa na muungano hu wa kihuni

Huna mjomba mwanajeshi apindue hii Tanzania na kuwapa uhuru wenu Zanzibar...? mkicheza hamuupati mtashia kuua mapadri tu kwa kuwa ccm wamejipanga kukataa serkali tatu au moja wanataka hiihi
 
Muungano huu umeundwa na watu wawili tu. Wananchi hatukushirikishwa. Kama vpi Watanganyika tujazane mmnazi mmoja square kuihimiza serikari iuvunje Muungano. Na Zanzibari kama vipi nanyie Jazaneni hivyohivyo kwenye mitaa yenu huko Zenji square. Tushachoka kila siku kukashifiana na kupendana kinafiki. Bora kila mtu awe na yake. Tambueni si chadema, CCM au CUF ndio italeta mabadiliko nchini. Nguvu za wananchi ndio zinazoleta mabadiliko.
 
Back
Top Bottom