ATUGLORY
Umenena haya
Nakubaliana na wewe on one condition, hiyo haki yako on 50/50 affairs, izingatie kikamilifu wajibu wa kuchangia gharama za kuendesha muungano huo, kudai haki bila wajibu ni sawa na unyang'anyi.:A S wink:
Una kura yangu 100%,
Kwasababu wazanizbar tunakata 50/50 affairs basi lazima na sisi tuchangie sawa katika masuala ya muungano.
Lakini hayo mambo ya muungano ni lazima watizamwe upya na isiingize
1. financial affairs, ambayo ni pamoja na internal revenue, local currency, banking system,
2. minerals resources
3. Internal security and border security, kila nchi iwe jesi polisi lake na mikapa yake inayotambulikana kimataifa, yaani masuala ya uhamiaji yawe separate affairs
4. Elimu ya juu iwe separated from muungano.
5. Vyama vya siasa viwe seperated from Muungano, yaani chama cha siasa kiweze kuwa cha zanzibar tu au tanganyika tu, yaani uwe muungano wa serikali sio wa vyama.
Tunaweza kuwa na foreigh mission moja
Wizara zote za Muungano zigaiwe makao makuu yake sawa sawa, nusu zanzibar na nusu tanganyika, na wizara yenye makao makuu tanganyika iwe na wizara ndogo zanizbar na vice vasa
mawaziri wa muungano wawe sawa sawa nusu znz nusu tanganyika
Raisi wa muungano awe muda anatoka tanganyika muda anatoka znz na manaibu raisi wa muungano iwe hivo hivo
mabalozi wa muungano nchi za nje wawe nusu kutoka znz nusu kutoka tanganyika
na misaada ya kigeni ya znz iende moja kwa moja znz na misaada ya tanganyika iende moja kwa moja tanganyika
Tikifanya hivo tutaheshimiana.