Prof. Lipumba aikataa Kamati ya Prof. Mukandala. Asema hakuna mjumbe aliyesema mchakato wa Katiba usubiri hadi mwaka 2025

Prof. Lipumba aikataa Kamati ya Prof. Mukandala. Asema hakuna mjumbe aliyesema mchakato wa Katiba usubiri hadi mwaka 2025

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu ni miongoni mwa Wajumbe walioteuliwa na Rais chini ya Rwekaza Mukandala, Anaitwa Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF.

Jionee mwenyewe


"Mimi nilikuwa mjumbe kwenye mkutano uliofanyika Dodoma na hakuna mjumbe hata mmoja aliyesema mchakato wa katiba usubiri hadi mwaka 2025. Baraza la Uongozi linapinga pendekezo la kikosi kazi juu ya suala hili la katiba mpya kusubiri 2025"
 
Usimwamini sn Lipumba bado hajaitwa ikulu kinachomuuna Zitto alemba kitengo kwa miaka 9 ijayo ya utapeli tapeli.
 
Hivi CV yake inaonyesha uprofesa wake huwa anafundisha chuo gani atu
 
Hivi CV yake inaonyesha uprofesa wake huwa anafundisha chuo gani atu
Lipumba hajawahi kuwa Professor hata siku moja cheo cha juu alichowahi fikia ni Associate Proffesa yaani msaidizi wa Profesa yeye na Huyo anaitwa Proffesa Assad hawajawahi fikia ngapi ya uprofessor wote waliishia kuwa wasaidizi wa maprofesa ila mitaani watu wanawaita ma Proffesa sijui kwa nini wakati vyeo vya juu waliyowahi fikia ni Associate Professor.
 
Zitto ni dalali, ila this time kama hatoona aibu basi mshipa wa aibu ulishakatika.
 
Ukishaona huyo Lipumbafu yupo Basi jua Kuna mchongo wa kusaliti kitu hapo. Hafai hata kwa chai ya rangi
 
Huyu hata huwa haeleweki anasimamia nini
 
Hii inaonesha vile wanasiasa hawafai kuachiwa waongoze mambo ya msingi kwenye hili taifa, namaanisha wanasiasa wote tena zaidi wa chama tawala wanaopenyeza makucha yao kila mahali.

Wamefanya kazi ya kijinga ili mwishowe wazawadiwe kwa kupewa ajira, hizi njaa zilizosambaa kwenye hili taifa mpaka kwa watu ambao hawatakiwi kuongozwa na matumbo yao ni tatizo la ziada kwa taifa letu.
 
Back
Top Bottom