Prof. Lipumba aikataa Kamati ya Prof. Mukandala. Asema hakuna mjumbe aliyesema mchakato wa Katiba usubiri hadi mwaka 2025

Kwahiyo le profeseri mukandala kajipa kazi ya uchawa kwa mama kwa kutunga kwamba wadanganyika wamesema katiba isubiri hadi 2025 akilenga kula shavu, wasomi wa danganyika wanaendeshwa na wanasiasa sababu ya njaa na ni fedheha kubwa.
 
Lipumba hajawahi kuwa Professor hata siku moja cheo cha juu alichowahi fikia ni Associate Proffesa yaani msaidizi wa Profesa yeye na Huyo anaitwa Proffesa Assad hawajawahi fikia ngapi ya uprofessor wote waliishia kuwa wasaidizi wa maprofesa ila mitaani watu wanawaita ma Proffesa sijui kwa nini wakati vyeo vya juu waliyowahi fikia ni Associate Professor
Niliwahi kuambiwa huwa anafundisha vyuo vingi uchumi huko ulaya online.

Kumbe ni associate
 
"wekuwa madalali wa mama anaupiga mwingi".

Puaaaaa puawaaaa Zitto kabwela
 
Lipumba hajawahi kuwa Professor hata siku moja cheo cha juu alichowahi fikia ni Associate Proffesa yaani msaidizi wa Profesa yeye na Huyo anaitwa Proffesa Assad hawajawahi fikia ngapi ya uprofessor wote waliishia kuwa wasaidizi wa maprofesa ila mitaani watu wanawaita ma Proffesa sijui kwa nini wakati vyeo vya juu waliyowahi fikia ni Associate Professor

Lipumba hajawahi kuwa Professor hata siku moja cheo cha juu alichowahi fikia ni Associate Proffesa yaani msaidizi wa Profesa yeye na Huyo anaitwa Proffesa Assad hawajawahi fikia ngapi ya uprofessor wote waliishia kuwa wasaidizi wa maprofesa ila mitaani watu wanawaita ma Proffesa sijui kwa nini wakati vyeo vya juu waliyowahi fikia ni Associate Professor
Acha ukilaza !Unajiita msumi mwenye Shahada ya uzamili tena umesomea ulaya Lumumba wakakuamini kumbe ni kilaza .

Iko hizi Associate Professor is a professor hiyo associate ni promotion ya kiaaluma tu.
 
Kwa hiyo le profeseri mukandala kajipa kazi ya uchawa kwa mama kwa kutunga kwamba wadanganyika wamesema katiba isubiri hadi 2025 akilenga kula shavu, wasomi wa danganyika wanaendeshwa na wanasiasa sababu ya njaa na ni fedheha kubwa.....
Wamehakikishiwa ajira miaka 9
 
Huyu ni miongoni mwa Wajumbe walioteuliwa na Rais chini ya Rwekaza Mukandala , Anaitwa Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF .

Jionee mwenyewe

"Mimi nilikuwa mjumbe kwenye mkutano uliofanyika Dodoma na hakuna mjumbe hata mmoja aliyesema mchakato wa katiba usubiri hadi mwaka 2025. Baraza la Uongozi linapinga pendekezo la kikosi kazi juu ya suala hili la katiba mpya kusubiri 2025"
Mkandala ni green blood. Hajawahi kuishi kwa maslahi ya Taifa. Ni mmoja kati ya maprofesa hovyo kuwahi kutokea. Ana ungana na profesa wa jalalani na profesa wa kinyesi... Washenzi wana tumia kodi zetu vibaya. Vibanda vyetu vina fungwa na TRA wao wana kula tuu nyumbu hawa.
 
Associate professor ni msaidizi wa profesa?! [emoji16]
Lipumba hajawahi kuwa Professor hata siku moja cheo cha juu alichowahi fikia ni Associate Proffesa yaani msaidizi wa Profesa yeye na Huyo anaitwa Proffesa Assad hawajawahi fikia ngapi ya uprofessor wote waliishia kuwa wasaidizi wa maprofesa ila mitaani watu wanawaita ma Proffesa sijui kwa nini wakati vyeo vya juu waliyowahi fikia ni Associate Professor
 
... mwezi wa maprofesa huu! Kule Manyele na vinyesi vya mifugo Mto Mara; pale Mukandala na Katiba Mpya; huko Lipumba kuhusu upotoshaji wa Mukandala! Prof. Honest Ngowi yule nguli wa uchumi Mungu kamtwaa asubuhi ya leo (RIP).
 
Back
Top Bottom